herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
Asiye na marinda hayupo mkuu.Wakiweza rudisha marinda waliogawa ndio tutawapokea kama zamani
Yale magoma hata ukiyasikiliza leo kama yametoka jana tu hapoAsiye na marinda hayupo mkuu.
Wamebaki wanne. Ila bado me naona hawawezi imba kama zamani nyimbo inaingia haswa kunako moyo.
Kama soledad, fool again.
itafute better man bado n wamoto hawa viumbe basi tu cjuI n kwa nnAsiye na marinda hayupo mkuu.
Wamebaki wanne. Ila bado me naona hawawezi imba kama zamani nyimbo inaingia haswa kunako moyo.
Kama soledad, fool again.
zipo nyingi tu ila mmojawapo nnaoukubali zaidi unaitwa better man japo zote n kalihuo wimbo wao mpya unaitwaj
Ninao muda tu me bado kabisa sijaukubali kiviile.itafute better man bado n wamoto hawa viumbe basi tu cjuI n kwa nn
hahahaaa Jpm mnamjua bongo tu huko kwingine n mb..a tuSidhani kama dunia nzima itakuwa haujapokelewa vizuri....labda wafanye remix wamtaje na Jpm na utekelezaji wa awamu ya tano ndo ua heat hadi Tz๐๐๐wasisahau kutaja bombadier na fly over
yan acha tu hawajamaa n nomaaa sanaYale magoma hata ukiyasikiliza leo kama yametoka jana tu hapo
Ni walewale aliyepungua ni mmoja tuIvi mbona naona kama hawa ni generation nyingine sio wale wa zamani!!!/
Namba hazidanganyi hata katika chati mbalimbali za muziki dunian huwasikii kama zaman japo moto ni uleuleHuoni kiaje bro?, Unaona dunia nzima?
Mwaka huu wametoa tatu kama sijakosea kuna Hello walitoa january, better man walitoa march na dynamite july.huo wimbo wao mpya unaitwaj
๐๐๐hahahaaa Jpm mnamjua bongo tu huko kwingine n mb..a tu
ZAMA ZIMEBADILIKA NA MZIKI NAO UMEBADILIKAHv ule msemo wa kila nabii na zama zake unaweza ukawa unafanya kazi hata kwa wazungu..?
nmekuwa nikifuatilia sana mziki wa hawa jamaa (westlife) tokea siku nimewajua mpaka sasa hawajawai nikinai kiukweli hawa jamaa wako vizuri kuliko hata uzuri wenyewe kila nnapowasikiliza kwa aina mziki wanaoimba nataman mda wote niwe nawasikiliza wao vbao vyao mbalimbali walivyo vitoa hata miaka kumi iliyopita mpaka sasa bado vinazidi kutamba na vitazidi kutamba mpaka dunia hii itakapo vika mwisho wake kwa vizazi na vizazi
Kinachonishangaza westlife wameachia nyimbo mpya ni nzuri kama kawaida yao ila mapokezi yake bado cjaona kama wamepewa uzito huo kama mzikiwao ulivyo kuna nyimbo kama better man nanyinginezo japo dioni kama watu wanazipa sikio hilo
nnachojiuliza je ni kwa nn mapokeo yao yamekuwa hv au wakati wao ushapita au la...?