SANA haifanyi usionekane mfuatiliaji.soma vizuri mkuu nimesema sio mfuatiliji SANA
Nilijua mimi peke yangu simpendiKuna jamaa anaweka lafudhi ya kubana pua
Anaboa mno ....Yule jamaa aliempa mwenzie deal la kusafirisha kifurushi kumbe kuna madawa...anaharibu kabisa hiyo tamthilia
Tafuta remote ya startimes mkuu mimi baada ya kuharibika ya azam natumia hiyo haina shida zinaingiliana vizuriNaomba kujua juu ya "remote " ya azam TV, kimeharibika, nimenunua kipya hakifanyi kazi nifanyeje??
atakua laizer wa the magazineKuna jamaa anaweka lafudhi ya kubana pua
Anaboa mno ....Yule jamaa aliempa mwenzie deal la kusafirisha kifurushi kumbe kuna madawa...anaharibu kabisa hiyo tamthilia
huyo alieweka sauti ya Aga Karacay ni sumaku wa kwenye mizengweKiukweli mimi sikuwa mfuatiliji sana wa hizi tamthilia ila hii tamthilia imenifanya nisikose kutizama TV saa tatu usiku.
Na aliyeweka sauti ya mzee Aga ndio kafanya niipende zaidi maana anampatia sana (namsalimu popote alipo aliyeweka sauti kwa huyu mzee).
Nashauri kuwepo na lafudhi za kilocal kama yule msukuma wa kwenye tamthilia ya Victoria, hapo mnaweza kutupia lafudhi kama kichaga, hehe, makonde n.k.
Nawasilisha.
ni kweli hata kama ni kubana pua sio vile bora hata scene yake ilishaishaKuna jamaa anaweka lafudhi ya kubana pua
Anaboa mno ....Yule jamaa aliempa mwenzie deal la kusafirisha kifurushi kumbe kuna madawa...anaharibu kabisa hiyo tamthilia
kumbe ni yeye ndo nilkua namuwazahuyo alieweka sauti ya Aga Karacay ni sumaku wa kwenye mizengwe
ni yeye mkuukumbe ni yeye ndo nilkua namuwaza
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa anaweka lafudhi ya kubana pua
Anaboa mno ....Yule jamaa aliempa mwenzie deal la kusafirisha kifurushi kumbe kuna madawa...anaharibu kabisa hiyo tamthilia