Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,419
Aiseee nimecheka sana. siwalengi hao wadau hahahahahhaUnawasema wanafunzi wa p/s na secondary!!
Basi, jiandae jela inakuhusu 30 years na kazi ngumu pia, 0713 bila kyjelly.
Aiseee nimecheka sana. siwalengi hao wadau hahahahahha
Umewalenga hao hao. Soda na chips 1700????Haaaaaa haaaaaa haaaaaa haaa
Chips dume 1,000/= soda 500 hadi 700/= baadhi ya maeneo.Umewalenga hao hao. Soda na chips 1700????
Ni kweli, huo mlo ni wa kutongozea student. Primary au secChips dume 1,000/= soda 500 hadi 700/= baadhi ya maeneo.
Ni kweli, huo mlo ni wa kutongozea student. Primary au sec
This was 2013 Demi, chips kipindi hicho zinauzwa 1200 na soda jero. Dont rush into Judgement.Umewalenga hao hao. Soda na chips 1700????
Sawa tumekuona na wewe umepost! "You don't need to post if you don't have to post"Leave our kids alone..... one day you will be a father/mother too.
Shame on you.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mkuu kipindi hiyo na huko nlipokuwepo ilikuwa tunanunua chips 1200 tu na soda zilikuwa jeroChips dume 1,000/= soda 500 hadi 700/= baadhi ya maeneo.
Umenielewa tu vibaya. Kwa pesa hiyo chips soda inawezekana hata kwa mwaka huu kwa baadhi ya maeneo.This was 2013 Demi, chips kipindi hicho zinauzwa 1200 na soda jero. Dont rush into Judgement.
Not necessarily being primary or secondary students, what if was university students?Ni kweli, huo mlo ni wa kutongozea student. Primary au sec
That will never happen mkuuJapo, anakataa kuwa siyo hao anaowalenga. Japo, siku namba ya faili lake la kesi za mimba za wanafunzi wa P/S au Secondary likiwekwa wazi atakuja kufuta comment yake.
Labda wa enzi za mwalimu. Msosi atakula lakini mzigo kukupa mmh...Not necessarily being primary or secondary students, what if was university students?
Trust me it was wadada, wanaojielewa, mnaodhani ni wasomi! na naamini mpaka sasa wapo hata hapa mjiniUmenielewa tu vibaya. Kwa pesa hiyo chips soda inawezekana hata kwa mwaka huu kwa baadhi ya maeneo.
Ni kwamba nimeshangaa hivi kweli wadada wanarubuniwa kwa msosi wa 1700?
Hawatakuwa wadada bali ni watoto wa shule primary na secondary.