Bajeti ya trump ya kusafiri kwa mwezi mmoja tu toka ameingia madarakani(kwenda Mar a Lago) ni usd 10 million. Hicho ni kiasi ambacho Obama alitumia ndani ya mwaka mmoja katika Safari zake za ndani na nje ya marekani katika mwaka wake wa kwanza as president!