britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,977
- 45,834
Kwahiyo hata RM haijaingia kichwani?🤣Baba aliniambia nisome, nikaone kuwinda tetere ni bora zaidi. Ona sasa leo hii nimeishia kuambulia JK tu.
Rice and meat au?🤣🤣🤣🤣Kwahiyo hata RM haijaingia kichwani?🤣
Ninafikiri kuna maneno mengi sijayasoma kabla ya hapa (:)!: “The birds will be flying high tomorrow.”
Unataka niifungukie mkuu?🤣Rice and meat au?🤣🤣🤣🤣
Hata kwa mbali tu, labda nitaambualiko kidogo kwa kuunga dotsUnataka niifungukie mkuu?🤣
Rost tamuRice and meat au?🤣🤣🤣🤣
Kumbe sikua mbali sana. Rost na meat ni mule mule. Senkyu Boss.Rost tamu
Rostam AzizHata kwa mbali tu, labda nitaambualiko kidogo kwa kuunga dots
Unataka niifungukie mkuu?🤣
Pole pole yupi tena tofauti na huyuWacha nisubiri sPaNA za polepole wetu hii Uzi naona kama hainihusu