hili la barua hili, dah we acha tu, mtu ulikuwa unapata mfadhaiko usipopata barua. Yaani unajifungia dom wakati wa rollcall ya jioni ili tu usikie mtu akija mbio fulaniiiiiiii, barua zako mwe! na majina yale ya yanayobamdikwa notice board kwa waliotumiwa pesa, ukikuta jina lako halipo amani yaote inapotea lol!Dah!
Mi ilikua nikienda paredi natega sana sikio kiranja anaposoma barua pale mbele. Na ukipata barua tu, sherehe bwenini.
Tamu zaidi, siku hiyo umepokea barua, jioni ratiba inasema msosi ni wali.
Loh nakuambia maandalizi kwanza unaoga maana si unajua tulikua milimani baridi kule. Huogi mpaka siku flaniflani spesho.
If i culd tan bak th hends ov taim! Lol
Name Nguli Sakamoto
Best Food- banana & Ngararimu
Best Car- Toyota Stout & Peugot
Best teacher- Kiondo Kisaka Mauki
Best girl- Maria Sungusia Olotu
Best place-gym
Best actor-Bruce Lee & Rambo
Best actress- Synthia Rockros
Best movie-The gods must be crazy & Mr. Ibu
Best colour- Red
Best website-Jamboforum
Best Subject-Biology
Best song-I will always love u & My heart will go on
..JS, umenikumbusha visichana vya kibosho.Headmistress wao aliitwa sister Consolata alikuwa mkali kweli ukileta maskhara na vibinti vyake!!We usikute umesoma ile seminary nayojua mie.
Duuh midomo ilikuwa inageuka kuwa zege Nguli na visichana vya kibosho galz vikitabasamu kila saa
Ulikuwa Maua nn!??Maana wale kwa debate hatari kabisa..walitutisha..nakumbuka tulienda tukiwa form 1...na mimi ndo nilikuwa speakeer wa mwisho. aah kwa jinsi walivyokuwa wanainterrupt..nikagoma kuongea!Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?
Jamani nimecheka sana leo shemeji nguli uwiiii mbavu zinaniumaKuna wimbo wa Joe Thomas ulivuma sana tulikuwa tuanimbaga tukienda King'ori kulima maharage ...I dont wanna be a player.....
Nikiwa form one nilikamatwa nazungumza lugha ya taifa la TZ nikapewa adhabu jioni wakati wa chakula Kiranja mkuu alismesema nguli u will wash table number 1-4 ni mameza makubwa kweli na madish duuu! nikasimama kukoo kimya kwa sauti yangu ya utoto....me swahili dont u me english only sir speak....akaniongezea tena moja akasema broken english....sitomsahau yule jamaa alikuwa anaitwa Mayunga
Ulikuwa Maua nn!??Maana wale kwa debate hatari kabisa..walitutisha..nakumbuka tulienda tukiwa form 1...na mimi ndo nilikuwa speakeer wa mwisho. aah kwa jinsi walivyokuwa wanainterrupt..nikagoma kuongea!
utasikia;"To open the eyes of the speaker"
au;"To bring the speaker back to the navel of the motion."..afu basi tu kukuintimidate!chairpesron anawaambia;"denied!"
duh the auld lang syn-good old days!!!!!
Jamani nimecheka sana leo shemeji nguli uwiiii mbavu zinaniuma
Nguli, enzi zetu kama ulikuwa huna wa kukuandikia barua, ulikuwa unajiandikia mwenyewe ili na wewe uende angalau mbele ya "asemble".Ulikuwa ukikosa barua kutoka kwa marafiki kwa wiki unajihisi vibaya sana.
hili la barua hili, dah we acha tu, mtu ulikuwa unapata mfadhaiko usipopata barua. Yaani unajifungia dom wakati wa rollcall ya jioni ili tu usikie mtu akija mbio fulaniiiiiiii, barua zako mwe! na majina yale ya yanayobamdikwa notice board kwa waliotumiwa pesa, ukikuta jina lako halipo amani yaote inapotea lol!
ha ha ha, umesahau na ku crame maneno magumu tulikuwa tunaita bombasyic vocals nahisi hata Bluray alisoma huko, mtu akianza tu kuongea utasikia thank u mr speaker & u jambarastic gymnasium symposium at this particluar juncture I great u all hata kama ulikuwa unajiandaa kumpinga unaogopa utaanzaia wapi. I miss those days.
karibu shemeji ndio masisha hayo nayamiss
Nguli, enzi zetu kama ulikuwa huna wa kukuandikia barua, ulikuwa unajiandikia mwenyewe ili na wewe uende angalau mbele ya "asemble".
Mimi nilikuwaga napata barua nyingi hasa nikienda kwenye debate kibosho galz na weruweru halafu msichana huyo huyo unakuta kaandika kibao pia kwa marafiki zangu anajaribu kukucheki kama unamsimamo ukijibu tu kwa kupanic i love uu sijui nini wanaibandika ukutani bwenini wanakucheka weeee! Nilikuwa sijibu nisije chemka
Best Music; Should i say yes,should i say no?
Best School; Loss angeles (loleza)
Na wale dodoma seco?Usinikumbushe wasichana wa Msalato mie...huh!
Kuna ile style ina inaitwa saratoga au kibwenzi, watu walikuwa wanaonekana wakishua kweliYaani hakuna kama the good old days... nakumbuka tulikuwa tunanunua mabumunda kitaa... sasa hapo shati umekunja mikono, una kibegi cha jeshi na umenyoa push-beki!!
wikendi umechapa shati la ujiuji kubwaaaaa ndo usiseme
gademu!
ya ukweli sana...........
Imenikumbusha enzi hizo ninakishtobe changu kikali mno,
kinatinga roso halafu juu kimesuka yondo sista maji ya moto.....
Tunaruka sana debe enzi hizo....
Ilikuwa tunajinoma ile kinomanoma