Utazama (you will drown) kwenye kina kirefu na hivyo vijindevu vyako. Itakuwa afadhali kwa sababu utatupunguzia kero zako za kujifanya myahudi humu jamvini. Bon voyage!...Guys, I will be going to Bermuda Island, and I wonder what will happen when I am crossing this triangle?
Hizi ni imani na kujitajia umaarufu tu. Nimeangalia filamu 3 juu ya mada hii lakini hakuna hata moja inayosema kuwa "hiki ni kisa cha kweli". Hakuna ithibati za kitafiti zinazohakikisha kuwa eneo hilo kweli ni la hatari. Kwa hiyo, ninabakia na sentensi hii:
* The legend of the Bermuda Triangle is a manufactured mystery, perpetuated by writers who either purposely or unknowingly made use of misconceptions, faulty reasoning, and sensationalism.
Kwa maelezo na mifano zaidi, angalia pia hapa: Bermuda Triangle - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa kukupa moyo, ninakushauri uende ukiwa roho yako imetua kabisa.
Utazama (you will drown) kwenye kina kirefu na hivyo vijindevu vyako. Itakuwa afadhali kwa sababu utatupunguzia kero zako za kujifanya myahudi humu jamvini. Bon voyage!
just take courage and have a belief that the remains of your body will be found as opposed to previous incidences in which the deceased bodies are not found
Bad luck it wont work. Jesus is able.
I am a Jew and am' proud of it.
Kujiita jew na kudai unamwamini Yesu ni swa na kujiita mkristo na kudai unamwamini mtume Muhammad.Bad luck it wont work. Jesus is able.
I am a Jew and am' proud of it.
Wanafunzi wa Yesu walikuwa Jews au?!Kujiita jew na kudai unamwamini Yesu ni swa na kujiita mkristo na kudai unamwamini mtume Muhammad.
Hueleweki hapo...
Wanafunzi wa Yesu walikuwa Jews au?!
Guys I am leaving tomorrow via Bahamas. So I had to get new business cards for my trip.
Also, remember this:
I'LL MISS U ALL!!! U GUYS ARE MY BEST FRIENDS!!! U GUYS ARE GREAT IN EVERY SINGLE WAY, NO MATTER WHAT!!!
Aisee Jew, nimefurahi sana kusikia tayari umeshafunga virago na unaelekea huko Bahamas. Nenda kazame kwenye mkondo wa Bermuda Triangle tuondokane na kero zako. Ishallah (God willing)!Guys I am leaving tomorrow via Bahamas. So I had to get new business cards for my trip.
Also, remember this:
I'LL MISS U ALL!!! U GUYS ARE MY BEST FRIENDS!!! U GUYS ARE GREAT IN EVERY SINGLE WAY, NO MATTER WHAT!!!