Kaka mimi nitafurahi hasa endapo tukianza kufanya harusi za namna hii, itakuwa nafuu sana kwa watanzania wengi kiuchumi. Na hata wenye hela wataiga wakiona zinavutia sana
Nimeipenda sana hii Harusi, natamani nikishapata mwenzi wangu nifunge nae ndoa ya hadhi hii.
If you look the pics careful you'll see the ladies are so cute and beautifully.
[/CENTER]
Tatizo tulilo nalo sisi waafrika ni kupenda kuiga, tukiacha kuiga tukafata mila na desturi zetu pengine tutaweza kufanya kitu fulani, harusi hiyo ukiuliza imegharimu bei gani , unaweza ukakimbia jinsi ilivyokula mapesa, hongera zenu maharusi