ni hamsini tu???
hata sio nyingi.
Sio nyingi ndio lkn wapunguze
51. Kutembea na toilet paper kwenye poch zao
52. Kuhamishia vitu vya dreassinh table kwenye pochi
53. Kupendelea chupi nyeupe
54. Wakivaa suruali kuacha semu
flan ya chupi ionekane
55. Hupendelea nywele ambazo ni artificial
56. Wanathamini sana cku zao za kuzaliwa kiasi cha kuwa nazo hata nne kwa mwaka.
57. Walio wengi wanapenda smart phones
58. Wapenda kutuma na kutuniwa msg kuliko calls
59. Wanapenda chips kuliko chakula chochote
60. Vinywaji vyao ni Red's na Fanta
61. Hutembea barabarani wakila rollpop km ishara kuwa kula koni kwao co tatizo wawapo sita kwa sita.
62. Matukio wanayopenda kuhudhuria ni vichenpart na sendoff
63. Vipindi vyao vya kwenye runinga ni Chereko, nevana na tamthiria
64. Hawapo wazi kwenye mambo yao ya uhusiano, hata km ashawahi kutembea nao 50, km hajakwambia mmoja au wawili, bac atasema wewe ndo wa kwanza.
65. Hawapo wazi pia ktk mambo ya kingono, kila style anaweza sema hajawahi fanya umfundishe, kumbe hata ile ndogo anatoaga.
66. Wanapenda sana habari za udaku kuliko politics, sports na habari yingine. Hivyo magazeti yao makubwa ni Ijumaa, Uwazi, Kombora, Risasi, Kasheshe hahahahaha
67. Wanapenda kusikiliza bongoflava na blues kiliko hiphop na reggae
68. Walio wengi ni wanamitindo sio wanaharakati
69. Walio wengi wanapenda kusoma arts co science
70. Wengi wao wanapenda sana English kuliko Mathematics