RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,444
- 2,032
Yes, I hope Prado itakuwa tofautiHii mpya muundo wake 👎👎👎
Basi wenyewe wamekomaa nao kweli kweli. Kila toleo.Muonekano wa iyo lexux old iyo body ya mbele sija wahi kuupenda kabsa
Naona kwa mbaaali kama walikuwa wanataka kuchanganya na muundo wa land roverYes, I hope Prado itakuwa tofauti
Hivi ni Nissan wana model gani kwenye hiyo class? Au Pathfinder?Toyota anatoa silaha zake taratibu, tusubiri majibu ya Nissan
Imekuwa na sura ngumu kwa kweli 😂😂😂Hiyo mpya inamuonekano wa kiume kabisa
Yes, hata mitandaoni naona zinashindanishwa.Naona kwa mbaaali kama walikuwa wanataka kuchanganya na muundo wa land rover
Hizi designs zao mpya huwa naziita "hate it or love it".Ila Toyota ni hatari sana kwenye design zao SUVs .
Ndinga ni Kali mno
VW kazi ya pickup wanaijua vizuri.Sitakufa mpaka nimiliki kati ya haya:
Prado hizi mpya za kisasa
Hilux hizi mpya za kisasa
Ford ranger
Volkswagen amarok
N.B
Hii volkswagen amarok mpya ya msouth hivi mmeiona?
Wameshare vitu na ford ranger, chuma kimetulia balaa
Lexus, hapana. Ila Prado, lazima zimiminike.Serikali izichangamkie sasa waweke special order kwa viongozi kabla hazijawa common sana Ulaya na Marekani.
Waiongezee stability tu. Maana ukikunjuka inaogopesha mno.Prado ndio gari bora kwa kila aina ya barabara ..