Hongera sana Toronto Raptors, ushindi ni wenu na mmeutolea jasho! Poleni GSW mmejitahidi lakini the Basket gods were not with you. Until 2019/2020 asanteni wote mlioshiriki katika hili jukwaa la NBA na samahani kwa wale ambao nimewaudhi kwa namna moja au nyingine.
Warriors hatukucheza vizuri,majeruhi yametukost.
Tulisema sisi KD aangalie future yake kama its worth one game hakutusikia. Now he is regretting his decision. He may never be the same hata akirudi season ya keshokutwa. Mwenzie Kawhi San Antonio walim pressurize acheze wakati ameumia he was smart enough kuwakatalia.
Inasemekana Kahwi alifake kuumia,ni kweli hii jamani?That was the reason why Kahwi part ways with Spurs. Spurs wanted him to play and he informed them that he was not ready. The management and coach were not happy and their relationship with Kahwi was destroyed. I hope KD will be back to perform to his maximum ability.
That was the reason why Kahwi part ways with Spurs. Spurs wanted him to play and he informed them that he was not ready. The management and coach were not happy and their relationship with Kahwi was destroyed. I hope KD will be back to perform to his maximum ability.
Tulisema sisi KD aangalie future yake kama its worth one game hakutusikia. Now he is regretting his decision. He may never be the same hata akirudi season ya keshokutwa. Mwenzie Kawhi San Antonio walim pressurize acheze wakati ameumia he was smart enough kuwakatalia.
You can say it again!
He is just a trash when it comes to NBA Finals!
Inasemekana Kahwi alifake kuumia,ni kweli hii jamani?
He is s a media darling. KD na Klay ndo wanambeba siku zote, huo ndo ukweli.
Hahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Don na MazigaziAtakaye mwona Mazigazi anifikishie salamu zangu kwake, kwamba "Steph Curry ain't Finals Material".
Hv Kati ya Final MVP na regular season MVP which one worth???Aliumia kweli, ila muda wa kurudi alivyoanza kucheza aliusikia mwili hau respond, ikabidi awajulishe kwamba bado anapata maumivu hivyo anajitahidi matibabu zaidi.
Hapo management inaanza maneno kwamba anashauriwa vibaya, Tony Parker akasema injury yake Tony ilikuwa kubwa kuliko ya Kawhi na yeye Tony kashapona, kwa nini Kawhi asipone?
Hapo ndipo Kawhi wakawa wamemvuruga.
Mmmh...He is s a media darling. KD na Klay ndo wanambeba siku zote, huo ndo ukweli.
Tony sijui anajisikiaje,juzi nimemsikia ametangaza kustaafu.Aliumia kweli, ila muda wa kurudi alivyoanza kucheza aliusikia mwili hau respond, ikabidi awajulishe kwamba bado anapata maumivu hivyo anajitahidi matibabu zaidi.
Hapo management inaanza maneno kwamba anashauriwa vibaya, Tony Parker akasema injury yake Tony ilikuwa kubwa kuliko ya Kawhi na yeye Tony kashapona, kwa nini Kawhi asipone?
Hapo ndipo Kawhi wakawa wamemvuruga.
Tony sijui anajisikiaje,juzi nimemsikia ametangaza kustaafu.
Hv Kati ya Final MVP na regular season MVP which one worth???
Asee hongera sana kwa Raptors. Raps proved to be the better team.
And to my fellow GSW fans, let's not complain saaana over the injuries. Let's remember, we served Cavs the very same dish back in 2015 and in the similar Game 6.
As the team with the heart and mettle of the Champions, I am sure we will be back in the next playoffs.
Once again, congrats to the Toronto Raptors.