Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
Kwa ufupi ni kwamba kwenye playoffs watu wanamuwinda Curry na kumsahau KD. Kuhusu Historia ya Steph sidhani kama kuna mtu ataweza kuifikia ya huyu jamaa anaongoza 3 za playoffs hata michezo mia (kama sikosei) hajafikia [emoji2][emoji2] Wanaofuata wakila Rey Allen wana mbili na sabini na kitu huko ..... balaaaKama unanisema mimi umekosea sana, mimi ni shabiki mkubwa wa michezo na kwa sasa Basketball. Niliwahi kuangalia soka wakati timu ya England ikipambana na Brazil mwaka 1970 (je ulikuwa umezaliwa?) Alikuwepo mchezaji moja wa Brazil anaitwa Pele au mchawi wa soka ila jina lake halisi lilikuwa Edson Arantes do Nascimento, na kweli alikuwa mchawi wa soka. Wakati huo England inao wachezaji hatari kama akina Bobby Moore na golikipa machachari akiitwa Gordon Banks.
England walijua wazi kabisa kuwa Pele hawezekani na hivyo wakaamua kwamba kila mchezaji anayekutana na Pele ahakikishe kwamba kimoja tu kinapita...ama mchawi au mpira. Siku hiyo England walivunja rekodi kwa kumkata Pele madaluga hadi ilibidi Pele atolewe uwanjani. Pamoja na kufanyiwa vituko vyote hivyo, heshima ya Pele ilibaki pale pale kama mchawi wa soka. Hivyo hivyo ukiona vituko Curry anafanyiwa uwanjani awe na mpira au hana lakini pamoja na hayo Curry naye kaandika historia!
Kama game one ya warriors na rockets, referees wameamua ile gameNi kweli, games nyingi zinakuwa decided na maamuzi ya referees, ziko fouls zisizohitaji kuwa called na zipo zinazohitaji kuwa called lakini wapi!
Ray Allen, when asked if Curry was the greatest 3pt shooter had this to say...Kwa ufupi ni kwamba kwenye playoffs watu wanamuwinda Curry na kumsahau KD. Kuhusu Historia ya Steph sidhani kama kuna mtu ataweza kuifikia ya huyu jamaa anaongoza 3 za playoffs hata michezo mia (kama sikosei) hajafikia [emoji2][emoji2] Wanaofuata wakila Rey Allen wana mbili na sabini na kitu huko ..... balaaa
I am watching Mkuu hopefully Celtics will tie the series tonight 2-2. It is a very crucial game for Celtics to win otherwise their season will be over in few days.
This game is over. Bucks is leading this series 3-1.
Hii speed waliyoamka nayo GSW quarter ya mwisho si mchezo
Hivi GsW Wana hali Gani Mpaka SasaKwa hii michezo miwili, Rockets wameonesha uwezo mkubwa wa kutungua tatu tatu! Wamefunga 17 huku Warrios wakiambulia 6 tu. Haya sasa ni 2-2 na tunahamia Oracle Arena kwa mchezo wa tano. Je ukame wa tatu tatu kwa Warriors utaendelea au mambo yatabadilika? Katika majaribio kumi Steph Curry kaambulia mbili tu...maajabu haya! Hata hivyo hongera sana Rockets kwa kusawazisha na kuwaacha mashabiki wa GSW roho juu, good luck!
Mashabiki Wa Kawhi Wanasema Kawhi Had been the most CONSISTENT PALAYER on both ends of the floor in the playoff