The #1 reason why you may be single is...

Madhara ni makubwa zaidi uzeeni....Ukiwa kijana unaweza jichanganya na rafikizo..Lakini umri unapoenda unapaswa kuwa na watu very close watakaokufariji..Huu ndio umuhimu wa kuwa na mtu Permanent..

babe umejuaje haya, ushawahi kuzeeka?
 
it happens tu unajikuta upo kwenye imaginary relationship, yaani unalipenda li mutu weeeeeeeeeee kumbe na lenyewe linampenda mtu mwingine, basi ukiwa peke yako unawaza hadi gauni ya harusi itakuweje khaa

jamani...apo unakua na unri gani!??
 
it happens tu unajikuta upo kwenye imaginary relationship, yaani unalipenda li mutu weeeeeeeeeee kumbe na lenyewe linampenda mtu mwingine, basi ukiwa peke yako unawaza hadi gauni ya harusi itakuweje khaa

Lol:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…