Asalam Aleykum, [Shalom]
Katika maisha kila tuendapo/ tuwapo --> iwe shuleni, nyumbani, kanisani, msikitini, kwenye semina, (fb, thlr, twt, jf...)}social forums na kwingineko;
Tumeshauriwa na kufundishwa kukumbatia mtazamo chanya (embracing positive attitude and opinion) na pia kujifunza kuendelea kuishi baada ya misukosuko ya maisha kutukumba (the art of moving on). Hata kumekuwa na msemo ambao nimeupenda sana,
'Life is like a bicycle-to maintain the balance you have to keep moving '
Sasa, wengi tunapopigwa chini/ kibuti/ kumwagwa/ kupewa cha mbavu...huwa tunajitahidi kuficha mitazamo yetu kuhusu tukio zima kwa watu wengine.....
Sadly we live in this world now because of the pride we embraced since then... Good day fellas