Siku hizi!Wenzako tulisoma kipindi kile ambacho hakukua na mitihani ya "kushedi" wala hatukutumia OMR,kipindi ambacho kulikuwa na kufaulu na kuchaguliwa,si kipindi hiki ambacho serikali inahamisha attendance register ya shule ya msingi na kuipeleka yote sekondari na kuwadanganya eti mmefaulu darasa zima.
Tatizo umekariri sana. Fatilia thaqaafa ilianzishwa mwaka gani kisha tafuta lake secondary nayo ilianzishwa mwaka gani halafu uje kujitapa hapa kwa hio aina ya mitihan yako
.usiwe mjuaji kwa kila kitu.