Tizo: fuatilia press conf za DT kisha ndio uweze comment. Republicans siwakubali lkn wenzetu wamestaarabika. Mbichi wanaziita mbichi na hakuna kuremba. DT ni tishio la free world na inasikitisha sana kuona chaguzi zinazaa rais kimeo
Bwege weweHow about a corrupt press that answers only to sectoral interests? A student of history should know that dictators have always bought their own press. The hsrdworking Senator is disgruntled because he lost to Obama, then tried to stop Mr. Trump, then lost again.
mwambie jpm magazeti yapi yanafaa na yapi yasiyofaa ili yanayofaa asiyapige pingu. Kumbuka, "ustaraabu wako ni ushenzi kwa mwingine"Ufisadi wote nchini kuanzia rada, EPA, escrow, kagoda, meremeta, mv ufisadi ya bilioni 8, lugumi, IPTL, kiwira coal mining, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Richmond/Dowans etc Watanzania tusingejua details za ufisadi wote huu kama si juhudi za magazeti mbali mbali nchini ambayo yaliamua kuvalia njuga na kuanika ufisadi wa kutisha dhidi ya Taifa letu
Leo hii wanatishwa sana na hata kuitwa wachochezi! Yapo magazeti uchwara ambayo hukurupuka lakini mengi yanafanya kazi nzuri sana ya kutuhabarisha Watanzania ndani na nje ya nchi.
hahaha . ..braza hujielewi aisee..post ya kwanza unaviponda..post ya pili unavisifia...dah kweli 1/4 is realHukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
source pleaseHili zee mnalishukuru la nini. Lina chuki za binafsi kwa Trump. Bifu yao iko kwenye ungo. Hizi liki za kumchimba Trump na kupeleka umbea linahusika mara nyingi. Nuksi kweli hili jamaa uzalendo limeweka nyuma.
Lina usongo wa kukosa uraisi. Halikutoa ushirikiano kwa Obama sasa liko mstari wa mbele kumchimba Trump.
You so right mkuu Ila tu Senate Mac Cain hafai kabisa kuwa mfano wa demokrasia yaani is really traitor puppet skendoulous huyoo jamaa,kuna millions evidence kwamba huyoo ni nyoooko hakunaga kabisa......and that is exactly what is going on in our beloved country. It is a consolidation of power by this dictator uchwara.
Huyo hana tofauti na Trump ,anasifia wanaoandika/kusema anachotaka na kuchukia na kuponda wanaokosoa au kusema hasichopenda kisemwe.Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
Tofauti ya marekani na hapa ni kwamba , kule watu wanajadili mambo muhimu kwa taifa bila ajizi, hivyo ni muhimu sana kuendelea kujadili ila hapa watu wanataka waachwe watukane tu wanavyojisikia! Wapinzani wanadai haki ya matusi!