Thank you lord it's ma birthday...........!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!

Happy b'day mamiiii......Mungu akubariki na akuepushie na kila hila za adui shetani.
 
happy born day mamito..
 
hahahahaha jamni hii ni defamation thatha b'day na uzi waMtambuzi vina uhusiano gani:glasses-nerdy:

hahahah acha longo longo Asnam hebu kata keki tule, nisogezee kaglasi kangu apo......:clap2:
 
Last edited by a moderator:
Asnam, Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa
Mungu aendelee kukushikilia na kukuongoza ktk Mema yake Yote

La kukumbuka ni kwamba kila unapoongezeka ktk siku ndivyo unazidi kulikaribia kaburi lako, hivyo maandalizi ya KIROHO usiyasahau
 
ushauri mzuri,ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…