Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 456
- 921
Nilinianza kutumia jamii forums mwaka 2012, na imenisaidia vitu vingi. Nilikuwa na tatizo la Laptop nikasaidiwa hapa kusolve tatizo hilo bila kwenya kwa fundi. Ili kutumia 0.freebasics.com nilikuwa natumia android emulator kwenye PC lakini ni nzito na inafanya pc iwe nzito sana. Juzi nimejua kuhusu "user agent swicher" sasa natumia freebasics bila emulator na iko vizuri sana.
Hata hapa nimepost kupitia freebasics kwa kutumia user agent switcher kwenye pc! Pia nimepata msaada kuhusu kuongeza vpn "addon" kwenye browser bila kuinstall app ya vpn ili kuaccess twitter nk. Thank you JF and its Members for your assistance.