Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
hebu fafanua kidogo mama!...
wengine tulikimbia umande
tafuta opener nzuri au hata kalamu flan na uziweke chata flan hv kama kumbukumbu kwa kila atakayepata
Asante Mnene 1 kwa ushauri, ila katika shuguli za watu nyingi huwa nakutana na hivyo vitu kama handkerchief, pen, key holder, opener na nikaona imekuwa common sana ndio maana nikaomba ushauri wa something unique.
sasa we mwanamama,
ni kwamba wewe unaolewa?
Customized candles zile candle nene fupi kama za kanisani perfumed yenye majina ya wanandoa etc.
Sisi tuliotokea kwenye lile jukwaa la bondeni kule tumeshtuka hapa kidogo "thank you for coming gift" Nilidahi unataka kumshukuru mzee for making you happy lol just effects of jukwaa forgive me sis
Btw ni wazo zuri hata ukiwapa vijikadi vidogo vyenye hayo maneno si mbaya au wengine wanaweka viti vyenye kumbukumbu zaidi kama key holders zenye ujumbe huo yaani ali mradi kunogesha mambo tu
Ni zawadi ndogo/kubwa kutoka kwa maharusi/ubarikio/etc wanawapa wageni kuwashukuru kwa ujio wako kwenye sherehe yao/yake.