R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,322 Reaction score 26,195 May 26, 2021 #21 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... tuwekee thamani ya utopolo ya kina Nchimbi na Sarpong
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... tuwekee thamani ya utopolo ya kina Nchimbi na Sarpong
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,019 May 26, 2021 #22 Kwani thamani ya utopolo ni bilioni ngapi?
mbwe JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 1,198 Reaction score 2,958 May 26, 2021 #23 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Acha bangi wewe unaijua bilion 270 au unatamka tu ,kwahiyo wadad ina thaman Zaid ya tirion ?
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Acha bangi wewe unaijua bilion 270 au unatamka tu ,kwahiyo wadad ina thaman Zaid ya tirion ?
Charles Mandela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 3,691 Reaction score 3,306 May 27, 2021 #24 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Ila JamiiForums ni raha sana πππ
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Ila JamiiForums ni raha sana πππ
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,800 Reaction score 4,859 May 27, 2021 #25 Kobello said: So you know ... Click to expand... I see