Nakupinga ila sina hoja
Watoto wa kike inabidi mzoee tu kwa kweli tunapenda kuwaongelea sana dah.
Hata hivyo heshima kwenu ingawa mnatofautiana sana.
mnatupenda sana.
Hahahaha!!! Amua kushangilia tu kama mimi maana hata mimi sina hoja......
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa hawana mipango na malengo zaidi ya kupenda starehe...wife material wengi ni wanawake watafutaji!!KUBALI AU KOSOA KWA HOJA
Nakataa! Wanawake wengi watafutaji wanasahau majukumu yao ya msingi katika familia and so,u-material wao siuoni hapo!
Hahahaa tatizo huko kushangilia kumekaa ki-escrow zaidi
thamani ya mwanamke ni mwenyewe jinsi alivyo