Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya kulipata ndipo niliwauliza vijana waliokuwa wanayatembeza pale mkutanoni lakini nilistushwa na thamani ya lile Gwanda kumbe huwezi kulipata bila kuwa na TSHS 75,000/= sabini na tano elfu sasa nikajiuliza inakuwaje wanasema WaTZ tumepigika halafu Gwanda liuzwe kwa bei kubwa kiasi hiki.Kweli hapo kuna dhamira ya kututoa kwenye umasikini?Muungwana vitendo!!!!!
Hata kama ni hivyo bado kwa maisha ya mtanzania hata wa Chadema hawezi kununua bei ni kubwa sana nimeshuhudia hakuna mtu hata mmoja aliyenunua Gwanda pale mkutanoni kwa ajili ya bei kuwa kubwa.Sasa kama ndiyo sare ya Chama inauzwa bei kubwa kivile siyo fair.Sare inatakiwa kuuzwa bei ambayo ni fair au hata bure mbona Tshirt za M4C zilinunuliwa yale magwanda ghali sana bana 75,000/=Halafu kwa taarifa zako mimi sina njaa kihivyo hapa mi nachana ukweli acha unafiki wa kila kitu we ni kufagilia tu usiwe kama panya!!Haya ni mawazo ya mtu duni sana,no reasoning at all but just complaining.Inaelekea ninyi ndo mnawahoji viongozi wenu kama watawaletea nguo.Hilo gwanda wamenunua kitambaa,wameshona na kumlipa fundi kisha ndo lipo sokoni kwa bei hiyo,kinachokushangaza ni nini? Mi nimeshona suti ya kawaida kabisa kwa bei hiyo hiyo...Pia napata shaka kama japo utajitahidi umnunulie mkeo wax ya 50000tsh maana unaonekana bahili kweli.Acha kujitangazia dhiki,kula kwa urefu wa kamba yako,fanya kazi,weka hela SACCOS au bank na siyo baa,usipende vitu vya bure,usilaume kutopewa usichoweza kutoa kisha mwombe Mungu naamini utafanikiwa!
Hapo kwenye RED mimi sijasema hivyo hayo ni yako nafikiri umeamua kuwasema kwamba hawana lolote ila bado nasema bei ya gwanda ni kubwa sana huwezi kuuza sare kwa Tshs 75,000/= bana we vipi?Kimsingi hatujadili mambo yaliyojificha bali tunajadili yale yanayoonekana!!Nikichanganya hapo kwenye RED na BLUE jibu ninalopata ni kwamba wewe si mfuasi wa CHADEMA inagawaje umetaka kushawishi uonekane hivyo.....ulichokusudia kusema ni kwamba CHADEMA hawana lolote na kauli zao za kuhuzunishwa na umaskini wa TZ ni propaganda tu za kisiasa!!
Mimi sio CHADEMA na wanazi wa CHADEMA wa humu JF wanafahamu hivyo, haidhuru hata kama wakati mwingine wananiita GAMBA ingawa hata hilo GAMBA nami nipo mbali nalo!1 Lakini pamoja na hayo, ningekushauri tu kwamba "acha kukuza mambo," ya ndani ya CHADEMA waachie wenyewe na wala hayana negative effect kwa mustakabali wa taifa hili.
Hapo kwenye RED mimi sijasema hivyo hayo ni yako nafikiri umeamua kuwasema kwamba hawana lolote ila bado nasema bei ya gwanda ni kubwa sana huwezi kuuza sare kwa Tshs 75,000/= bana we vipi?Kimsingi hatujadili mambo yaliyojificha bali tunajadili yale yanayoonekana!!
Wachaga hao, bado hujauliza CD ya mauaji ya Arusha. Duka la mzee Mtei halitegemei ruzuku tu.
Hapa hapa ndiyo eneo sahihi ya kusema jambo kama hili huwezi kusema wananchi wamepigika lakini bado we unauza sare kwa bei kubwa ya 75,000/=Nafikiri hata wewe uliooona thread hii umestuka na ndiyo maana umeamua kucomment kwa sababu bila kutetea hii hoja utaonekana ushabikii chama chako vizuri shida yako akili yako umeikalia kwa kutumia tofali.Mkuu pole sana, najua ukombozi wa kifikra kwako bado sana, nachelea kusema kwamba wewe ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa CDM wakiingia ikulu basi mabomba nchi nzima yatatoa maziwa, sukari dukani itauzwa sh.50, au vitu vyote vitakuwa ni bure. Maisha bora kwa kila mtanzania hayaji kwa kugawa vitu bure au kuuza kwa bei ndogo sana, mbona CCM kwenye chaguzi wamewahonga vitu vingi(tisheti, khanga, vitenge, kofia, n.k) lakini maisha bora hamjayaona?
Upande wa pili ninavyohisi inawezekana kabisa wewe una akili timamu na unajua unachokifanya, aidha ndio ajira yako ya kusaka tonge kwa kutuletea na kutujazia jukwaa porojo za kimagamba, udaku,ushakunaku, unafiki na upumbavu unaoujua wewe ili kuaminisha watu kuwa CDM haiwezi kuleta maisha bora kwa watanzania, hii labda ungejaribu kwenye forums nyingine lakini sio hapa JF "GT", kumbuka vilema waliopo hapa JF ni magamba tu peke yake wengine wote ni GT
mwingulu za siku? Bado hauja tubu? Naona laana bado ina kuandama ndio maana swala la mauaji haliishi mdomoni mwako.
Laana ni kitu kibaya sana.
Mi ninachotaka watengeneze mengi lakini siyo kwa bei ya 75,000/= ni kubwa sana na ndiyo maana wanachama wengi hawana hili gwanda pia wengine ukiwakuta wamevaa basi ni shati lake tu chini jeans.Naanza kupata wasiwasi inawezekana wanafanya mtindo wa kugawana wanachanga pesa halafu mmoja anadaka suruali mwingine shati sasa hii ndiyo nini.Punguzeni bei bana watu wayanunue.Ni aibu wale vijana wamezunguka mkutano mzima lakini Gwanda hazikununuliwa.kama unaona ni bei kubwa kanunue kitamba town mpelekee fundi akushone gwanda