State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 617
- 1,441
Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgaoMore and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]
The world is sick and tired of western hegemony and is moving towards a fair, peaceful and stable multipolar world.
[emoji122]Kudos Thailand [emoji1242]View attachment 3021920
Imekalia us*nge tu Brics wanaenda inchi zinazojitambua sio hawa vilaza.Tanzania inasubiri nini?
Kuna mengi huyajui kuhusu BRICS mzee.Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgao
Soma 'emerging economies'.. center of gravity is moving towards eàst,Leo ulaya wanakopa china(bicycle country)Hizo nchi za Tailand na Vietnam hazina mvuto wowote kiuchumi, nchi zenye uchumi bora duniani ni ulaya peke yake na Marekani tayari ameshaziunganisha, Vietnam juz juzi waliomba msaada kutoka USA mpaka Biden alienda wakampigia na salute kumnyenyekea wana hali mbaya sana
Lete hapa hatutaki mdomo, hizo hizo nchi za Brics zinaipigia magoti US kwa msaada ikiwemo south africa, china, Vietnum na Russia kila siku wanalalamika kuhusu vikwazoKuna mengi huyajui kuhusu BRICS mzee.
China anaitegemea marekani! Upo dunia ya wapi mkuu!Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgao
Ni lini urusi na China wameomba msaada kwa marekani?? Bila kunijibu chochote, naomba uje na kithibitisho ya wao kuomba msaada kwa mmarekani!👈Lete hapa hatutaki mdomo, hizo hizo nchi za Brics zinaipigia magoti US kwa msaada ikiwemo south africa, china, Vietnum na Russia kila siku wanalalamika kuhusu vikwazo
Asia yote na Africa itahamia BRICSMore and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]
The world is sick and tired of western hegemony and is moving towards a fair, peaceful and stable multipolar world.
[emoji122]Kudos Thailand [emoji1242]View attachment 3021920
wewe ndio upo dunia ipi, china mpaka leo anatakiwa akiri tu kama anaisaidia russia silaha kwa vita ya ukraine bado anauma meno, uchumi wa china upo mikononi mwa USChina anaitegemea marekani! Upo dunia ya wapi mkuu!
China sio kwamba wanaomba msaada sasa china toka hapo mapema uchumi wake uliwezeshwa ni US kwa kupewa wataalam na hata makapuni ya kichina walipewa nyenzo ni US na wenyewe china wanalijua hilo, pasword za uchumi wa china zipo mikononi mwa US, silaha pia china technologia imetoka US ndio maana hadi leo china likija suala la akiri kushirikiana na Putin anakataa mbingu na ardhiNi lini urusi na China wameomba msaada kwa marekani?? Bila kunijibu chochote, naomba uje na kithibitisho ya wao kuomba msaada kwa mmarekani!👈
Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgao
Bado hujathibitisha, haya umeyatoa kwako tu, nani akuamini!China sio kwamba wanaomba msaada sasa china toka hapo mapema uchumi wake uliwezeshwa ni US kwa kupewa wataalam na hata makapuni ya kichina walipewa nyenzo ni US na wenyewe china wanalijua hilo, pasword za uchumi wa china zipo mikononi mwa US, silaha pia china technologia imetoka US ndio maana hadi leo china likija suala la akiri kushirikiana na Putin anakataa mbingu na ardhi
hata wewe huna vidhibiti, umekuwa mvivu ata kuangalia TV kuangalia habari za ulimwengu, putin amekiri mara kadhaa vikwazo vya magharibi vinamuumiza na jamaa ndio kwanza wanaeka vikao kuongeza vikwazo ni hatua kwa hatua
wewe ndio upo dunia ipi, china mpaka leo anatakiwa akiri tu kama anaisaidia russia silaha kwa vita ya ukraine bado anauma meno, uchumi wa china upo mikononi mwa US
Kwani Chura anasemaje??Tanzania inasubiri nini?