Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Hahahahahakwanza aliambiwa atalipiwa nyumba hajalipiwa kama tff kweli tff imsaidie huyo kijana kama itakuwa itahongwa ikamuumiza singano tutaita TANZANIA FITINA FEDARATION (TFF)
Nami nimesoma kwenye blog ya shaffih Dauda nimeshangazwa sana,ambapo walim wake wamewakana kabisa viongozi wa SIMBA,ila pia stori ya kughushi Contract nayo inachanganya sana,maana hata huo mkataba wa Singano uliopo TIFUTIFU unaonesha ni wa miaka mitatu wakat dogo ana wa miaka miwili,uhuni kwenye soka unalelewa na haohao TIFUTIFU wa Mchikichini kwa Jamal Malinzi ila hapo kwenye green let me believe kuwa hujakoseaAisee maskini kijana huyu na elimu yake ya kuunga unga natoa wito kwa wanajamii forum hasa wale waliosomea mambo ya sheria wamsaidie huyu kijana msikubali aende peke yake siku hiyo unategemea nini kulia kakaa malinzi kushoto aveva. Ilo bit atakalopigwa ataishia kusaini mkataba mwingine wa miaka miwili kwa mshahara wa laki tano arafu tuje kuambiwa TFF imewasuruhishwa na aonekane yeye ndiye akusoma vizuri mkataba. Nimeoneshwa makazi anayoishi kupitia globu moja hivi aisee hana tofauti na maisha ya mama ntilie.. naomba wanajamiiforums tutumie nafasi hii kumsaidia hizi klabu zimekuwa na na kamchezo haka unasainishwa mkataba arafu badae last page inachakachaliwa kwenye mkataba mwingine magumashi.
Duh soka ya bongo,kudadadeki. Yaani si tunasubiri mtuambie mkataba uliokuwa kwenu unasemaje nyie mnaita watu kwa mazungumzo kweli hii tifuatifua
Nami nimesoma kwenye blog ya shaffih Dauda nimeshangazwa sana,ambapo walim wake wamewakana kabisa viongozi wa SIMBA,ila pia stori ya kughushi Contract nayo inachanganya sana,maana hata huo mkataba wa Singano uliopo TIFUTIFU unaonesha ni wa miaka mitatu wakat dogo ana wa miaka miwili,uhuni kwenye soka unalelewa na haohao TIFUTIFU wa Mchikichini kwa Jamal Malinzi ila hapo kwenye green let me believe kuwa hujakosea