Na ataisema maana ya hilo neno ulilolosema kwa Kiingereza cha lafudhi ile.Mzee baba atasema'nilimtuma Kijana wangu huko Cairo awe kama CATALYST,hahah
Mzee baba atasema'nilimtuma Kijana wangu huko Cairo awe kama CATALYST,hahah
Ni CATARYST Mkuu [emoji12][emoji12][emoji12]
Who is DAB by the way? [emoji41][emoji41][emoji41]
Punguza ukali wa maneno mkuukumalamamayake CCM KUMALAMAMAYAKE TFF ALAFU KUMALAMAMAYAKE KUBWA TIMU YA TANZANIA, alafu ****** mavi BASHITE....KUUUMA
Punguza ukali wa maneno mkuu
WamefanyajeWatz bhana..... anyway tumejitahidi sio mbaya ki hivyo.
Asante kwa kuwakilisha kilichokuwa moyoni mwangu, nakuombea usipigwe bankumalamamayake CCM KUMALAMAMAYAKE TFF ALAFU KUMALAMAMAYAKE KUBWA TIMU YA TANZANIA, alafu ****** mavi BASHITE....KUUUMA
Asante kwa kuwakilisha kilichokuwa moyoni mwangu, nakuombea usipigwe ban
Jamaa mwenye gundu naskia aliwamwagia mapesa ili wasikamie mechi. Eti tuifunge ze krens goli nne, maviiiiiiiiiii.Awali nilisema hivi:-
Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher anashindwa kuelewa kwaamba Bashite hawezi kuwa mhamasishaji wa suala lolote ? zaidi ya kuwa ni boredom creater? Wenye vyeti feki wenzie wamefukuzwa kazi yeye kabaki haoni kuwa ni kisababishi kikubwa cha hisia za chuki za jambo loloteambalo atalibebea kibendela?
Jamani mbona mambo mengine ni raahisi mno kuyadadavua? Kama hili la Bashite
Sasa nasema hivi, Stars itarudi nyumbani bila point, na ilienda AFCON kwa hisani ya Uganda kwani katika mechi ya mwisho Uganda iliisha weka kibindoni point 13 na Stars ilikuwa na 5 basi The CRANE wakawa hawana shida yoyote na hiyo mechi wakaona hawana haja ya kuvunjika miguu waka-relax.
Stars hawakuenda AFCON kutokana na uhamasishaji wa Bashite lahasha bali ni kwa hisani tu ya Uganda
Nafikiri TFF wanalakujifunza hapa kutokana na uhamasishaji wa huyo mtu.
Kipindi cha jk tulikuwa wazalendo na timu ilikuwa ni ya wananchi na sio ya serikalini ya ccm,Hii nchi Hakna hata mmoja mwenye furaha. UNAWEZA UKAJIKUTA UMEAMKA ASUBUHI UNAHASIRA HATARI. Kwani kipindi cha Kikwete timu haikuwa inafungwa ovyo? Watu walikuwa na hasira hizi? Hasira hizi zinamaana nzito sana kwako mtani Magu na Mwana Mfalme! MIOYO YA WA TZ IMEBEBA UJUMBE MZITO SANA KWENU, LAZIMA MJITAFAKARI. HII HALI HATUJAWAHI KUISHUHUDIA MIAKA YA 80'S HADI 2000'S
DAB ni Rais namba mbili!Ni CATARYST Mkuu [emoji12][emoji12][emoji12]
Who is DAB by the way? [emoji41][emoji41][emoji41]