B bupepe Senior Member Joined Jun 22, 2015 Posts 114 Reaction score 71 Sep 16, 2015 #1 Angalieni hili gazeti la champion Attachments 1442399119278.jpg 51 KB · Views: 287
respect wa boda JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 4,556 Reaction score 3,844 Sep 16, 2015 #2 Hela zinafanya kazi, na huu ndo muda wake. Wacha wazile kabla hawajastaafu. Lakini ikifika kwenye kupiga kura wote wanatumbukiza upande wa mabadiriko. BACK TANGANYIKA
Hela zinafanya kazi, na huu ndo muda wake. Wacha wazile kabla hawajastaafu. Lakini ikifika kwenye kupiga kura wote wanatumbukiza upande wa mabadiriko. BACK TANGANYIKA
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,009 Sep 16, 2015 #3 Hv wachezaji hawaruhusiwe kuwa na upande kwenye sıasa?
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 16, 2015 #4 respect wa boda said: Hela zinafanya kazi, na huu ndo muda wake. Wacha wazile kabla hawajastaafu. Lakini ikifika kwenye kupiga kura wote wanatumbukiza upande wa mabadiriko. BACK TANGANYIKA Click to expand... Hapo sawa!
respect wa boda said: Hela zinafanya kazi, na huu ndo muda wake. Wacha wazile kabla hawajastaafu. Lakini ikifika kwenye kupiga kura wote wanatumbukiza upande wa mabadiriko. BACK TANGANYIKA Click to expand... Hapo sawa!
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Sep 17, 2015 #5 Ngoja uone kituko game ya Watani sept 26 ... Tff Wakileta siasa wataaibika siku hiyo ... Watashangaa kuona uwanja mzima ni Ukawa ...
Ngoja uone kituko game ya Watani sept 26 ... Tff Wakileta siasa wataaibika siku hiyo ... Watashangaa kuona uwanja mzima ni Ukawa ...