Wiki hii tff kupitia bodi ya ligi ilifungia viwanja kadhaa kwa sababu mbalimbali. Mojawapo ya uwanja huo ni wa arusha-sherk amri abed kwa sababu ya pichi.. Madoadoa yanaanzia pale tff hiyohiyo inapanga mechi ya kimataifa kwenye uwanja huohuo.! Kati ta stars na harambee.!
Tff, haya makengeza ni ya nini?