CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Aug 10, 2019 #1 Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,142 Aug 10, 2019 #2 Allan Clement said: Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi?? Click to expand... TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea.
Allan Clement said: Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi?? Click to expand... TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea.
George786 Member Joined Feb 8, 2019 Posts 53 Reaction score 95 Aug 10, 2019 #3 Na zawadi za msimu uliopita vipi?dah nchii hii balaa
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Aug 12, 2019 Thread starter #4 Frustration said: TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea. Click to expand...
Frustration said: TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea. Click to expand...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,981 Reaction score 119,495 Aug 12, 2019 #5 Huyu Wallace Karia na kile kikundi chake ni kazi sana kuwaelewa. Kama hawajitambui vile na wamekuwa wakichukulia mambo kwa wepesi sana.
Huyu Wallace Karia na kile kikundi chake ni kazi sana kuwaelewa. Kama hawajitambui vile na wamekuwa wakichukulia mambo kwa wepesi sana.
Rashford Lingard JF-Expert Member Joined Feb 9, 2018 Posts 938 Reaction score 1,151 Aug 12, 2019 #6 Mdhamini atatangazwa tarehe 15 August
Polonium JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 233 Reaction score 138 Aug 12, 2019 #7 ,????????,!!!!!!!!!
Issuna JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,204 Reaction score 7,649 Aug 12, 2019 #8 tIFU tIFU WA nchi hiii ni taka taka
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Aug 12, 2019 #9 Labda iwe kampuni au shirika hewa. Kudhamini ligi ya Msomali yahitaji uwe kichaa.
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Aug 12, 2019 #10 Allan Clement said: Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi?? Click to expand... Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
Allan Clement said: Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu... Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana, Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi?? Click to expand... Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
Prince az JF-Expert Member Joined Sep 27, 2018 Posts 1,223 Reaction score 1,570 Aug 13, 2019 #11 Labda mzamini hataki kujitambulisha Ngoja tusubili muda ni Hakimu mzuri
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Aug 13, 2019 #12 Mc Tilly Chizenga said: Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu?? Click to expand... EPL sponsors hawa hapa: Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports.
Mc Tilly Chizenga said: Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu?? Click to expand... EPL sponsors hawa hapa: Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports.
Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,265 Reaction score 839 Aug 13, 2019 #13 Mc Tilly Chizenga said: Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu?? Click to expand... Tumia hata akili kidogo tu kuwaza FA unailinganisha na TFF maisha yako kama hakuna mzamin no zawadi.
Mc Tilly Chizenga said: Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu?? Click to expand... Tumia hata akili kidogo tu kuwaza FA unailinganisha na TFF maisha yako kama hakuna mzamin no zawadi.
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Aug 13, 2019 #14 Yale Yale ya tuliyoyaona msimu ulioisha
Statesmann JF-Expert Member Joined Jul 16, 2019 Posts 2,344 Reaction score 3,465 Aug 14, 2019 #15 Bora makampuni yajikite kudhamini team moja kwa moja kuliko kumpa hela Karia na TFF yake
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,482 Reaction score 8,657 Aug 14, 2019 #16 Hivi kweli timu zimeshindwa kushawishi makampuni makubwa kama pepsi cocacola halotel tigo voda kuwa udhamini
Hivi kweli timu zimeshindwa kushawishi makampuni makubwa kama pepsi cocacola halotel tigo voda kuwa udhamini
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,736 Reaction score 5,142 Aug 14, 2019 #17 Sibonike said: EPL sponsors hawa hapa: Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports. Click to expand... Sasa hiyo ligi ya watu usije kufananisha na huku. Wenzetu wanaweka mipango kwa ajili ya ligi ya msimu ujao mapema sana.
Sibonike said: EPL sponsors hawa hapa: Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports. Click to expand... Sasa hiyo ligi ya watu usije kufananisha na huku. Wenzetu wanaweka mipango kwa ajili ya ligi ya msimu ujao mapema sana.