TFF ACHENI KUIHUJUMU YANGA...

endrizzy

Senior Member
Oct 19, 2015
186
137
Toka yanga wakate rufaa kwa mshambuliaji wao OBREY CHIRWA yamepita zaidi ya masaa 72 lakini hakuna chochote ambacho TFF wameamua.

kila mtu aliona mechi jinsi refa alivotumika kuinyonga yanga japo hakifanikiwa naomba TFF wajitokeze kujibu hizi shutuma za kuihujumu yanga.

sijawai kuona toka nazaliwa refa anakataa goli halali alafu anakupa kadi mfungaji nimeona Tanzania.

post kwa hisani ya

DAUD ALBERT BASHITE
 
Back
Top Bottom