TFDA yawa mamlaka bora ya usimamizi wa dawa na vifaa tiba Afrika

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tanzania is first African country to reach an important milestone in the regulation of medicines

Brazzaville / 10 December 2018: Tanzania is the first confirmed country in Africa to achieve a well-functioning, regulatory system for medical products according to the World Health Organization (WHO). This means that the Tanzania Food and Drug authority (TFDA) has made considerable improvements in recent years in ensuring medicines in the healthcare system are of good quality, safe and produce the intended health benefit.

“This is a major African milestone and we are very proud of Tanzania’s achievement, which we hope will inspire other countries in the region,” says Dr Matshidiso Moeti, WHO Regional Director for Africa. “Access to medicines alone, without quality assurance, is not enough. With this milestone Tanzania makes a big step towards improving the quality of its health care services.”

Medicines are used to prevent illnesses and treat diseases, helping many people to lead full and productive lives. However, if produced, stored or transported improperly, if falsified, or used incorrectly or abused, medicines can be hazardous and can lead to hospitalization and even death. For these reasons, it is important to have effective regulatory systems that also serve to promote timely access to quality medicines.

Fewer than 30% of the world’s medicines regulatory authorities are considered to have the capacity to perform the functions required to ensure medicines, vaccines and other health products actually work and do not harm patients. For that reason, WHO and African governments have intensified efforts to bolster the capacity of regulating medicines in the region.

Over the past years WHO has been supporting African countries, including Tanzania to strengthen their regulatory entities.
“The core of WHO’s work is to empower countries through support and knowledge transfer so that they can expand access to health services for their populations,” says Mariângela Simão, WHO Assistant Director General for Access to Medicines, Vaccines and Pharmaceuticals. “If countries want to improve health outcomes, they first need to ensure access to safe and quality medical products that actually work and benefit patients.”

WHO’s assessment of regulatory authorities is based on the ‘Global Benchmarking Tool’ – an evaluation tool that checks regulatory functions against a set of more than 200 indicators – such as product authorization, market surveillance and the detection of potential adverse-effects – to establish their level of maturity.

The benchmarking of Tanzanian regulatory authorities was carried out in phases by a WHO-led team of international experts. Earlier this year, WHO facilitated self-assessments and conducted a formal evaluation of the Tanzania Food and Drug Authority (TFDA) on the mainland and the Zanzibar Food and Drug Agency and required the regulatory authorities to make a number of adjustments. In the last assessment, Tanzania FDA met all indicators that define a maturity level 3 agency, the second highest on WHO’s scale and the target for regulatory systems globally.

Established in July 2003, the Tanzania FDA has come a long way to becoming a recognized leader in medicines regulation in Africa. The latest achievement means that medical doctors, pharmacists, chemists and technicians working for the regulatory authority possess the expertise and hands-on skills to evaluate medical products, prevent and counteract associated hazards and are capable of protecting the public from substandard and falsified medicines.

Hongera TFDA, japo mimi Naona bado mikorogo ni aibu na fedheha.Toeni elimu hata kupitia Wasanii wa ndani watu waone aibu,kuharibu Uzuri Muumba aliowajalia.
 
Mikorogo na dawa za kuongeza nguvu za kiume au makalio bado ni challange kubwa kwao.
 
Yaani, kule Karatu mtu akikufananisha na nyumbu ni tusi la mwisho.
 
labda SA na Botswana uziweke kwenye kundi la Nchi za Ulaya...ishu ya madawa na matibabu wapo mbali sana sana...
 
“This is a major African milestone and we are very proud of Tanzania’s achievement, which we hope will inspire other countries in the region,” says Dr Matshidiso Moeti, WHO Regional Director for Africa. “

Ukiona wanatusifia namna hii siyo bure kuna sehemu wanaweza kuwa wametupiga, tujenge utamaduni wa kuwachunguza na wao.
 
Tanzania is first African country to reach an important milestone in the regulation of medicines

Brazzaville / 10 December 2018: Tanzania is the first confirmed country in Africa to achieve a well-functioning, regulatory system for medical products according to the World Health Organization (WHO). This means that the Tanzania Food and Drug authority (TFDA) has made considerable improvements in recent years in ensuring medicines in the healthcare system are of good quality, safe and produce the intended health benefit.
“This is a major African milestone and we are very proud of Tanzania’s achievement, which we hope will inspire other countries in the region,” says Dr Matshidiso Moeti, WHO Regional Director for Africa. “Access to medicines alone, without quality assurance, is not enough. With this milestone Tanzania makes a big step towards improving the quality of its health care services.”
Medicines are used to prevent illnesses and treat diseases, helping many people to lead full and productive lives. However, if produced, stored or transported improperly, if falsified, or used incorrectly or abused, medicines can be hazardous and can lead to hospitalization and even death. For these reasons, it is important to have effective regulatory systems that also serve to promote timely access to quality medicines.
Fewer than 30% of the world’s medicines regulatory authorities are considered to have the capacity to perform the functions required to ensure medicines, vaccines and other health products actually work and do not harm patients. For that reason, WHO and African governments have intensified efforts to bolster the capacity of regulating medicines in the region.
Over the past years WHO has been supporting African countries, including Tanzania to strengthen their regulatory entities.
“The core of WHO’s work is to empower countries through support and knowledge transfer so that they can expand access to health services for their populations,” says Mariângela Simão, WHO Assistant Director General for Access to Medicines, Vaccines and Pharmaceuticals. “If countries want to improve health outcomes, they first need to ensure access to safe and quality medical products that actually work and benefit patients.”
WHO’s assessment of regulatory authorities is based on the ‘Global Benchmarking Tool’ – an evaluation tool that checks regulatory functions against a set of more than 200 indicators – such as product authorization, market surveillance and the detection of potential adverse-effects – to establish their level of maturity.
The benchmarking of Tanzanian regulatory authorities was carried out in phases by a WHO-led team of international experts. Earlier this year, WHO facilitated self-assessments and conducted a formal evaluation of the Tanzania Food and Drug Authority (TFDA) on the mainland and the Zanzibar Food and Drug Agency and required the regulatory authorities to make a number of adjustments. In the last assessment, Tanzania FDA met all indicators that define a maturity level 3 agency, the second highest on WHO’s scale and the target for regulatory systems globally.
Established in July 2003, the Tanzania FDA has come a long way to becoming a recognized leader in medicines regulation in Africa. The latest achievement means that medical doctors, pharmacists, chemists and technicians working for the regulatory authority possess the expertise and hands-on skills to evaluate medical products, prevent and counteract associated hazards and are capable of protecting the public from substandard and falsified medicines.

Tanzania is first African country to reach an important milestone in the regulation of medicines

Duh Hatari sana tena sana. Basi taasisi hizo katika nchi nyingine zitakuwa mfu kabisa.

Hapa kwetu bado sana. You just walk in any pharmacy with no dr's prescription na unapewa dawa yoyote ile, na anayekupa vile vile ni yeyote yule.

Hospitalini dawa zinaandikwa na yeyote yule na kutolewa na yeyote yule ( hasa hospitals za serikali).
Duka lolote bila kujali bidhaa nyingine zilizomo linauza Dawa.

Tones of expired medicinal drugs zipo kwenye vituo vya kutolea huduma, stored in the same store as on use drugs ( risk ya kutumika kwa bahati mbaya au makusudi n.k).

Kwamba TFDA hawajui pharmacies nyingi wametundika tu leseni za wafamasia but hawafanyi kazi hapo Na hawafiki kabisa?

Bado wanaruhusu kuingia dawa zenye short shelves life - hasa zile za misaada. Lakini pia inawachukua karne kuapprove new medicinal products kuingia nchini ( wakati mwingine wana woga usio lazima).

Trainings za ADDO na kuruhusu maduka ya dawa muhimu ingawa lengo ni zuri lakini ni kuendekeza umasikini na kudidimiza utaalum.

Kuna miti shamba hadi ya sindano.

Kwenye vyakula ndio usiseme sijui wanategeana kazi na TBS na mabwana afya. Expired food products hasa zilizosindikwa ( drinks za makopo) kibao, tarehe za kuisha muda wake zimefutika na majority ya consumers hawajui wala kuelimishwa.

Storage na transportstion ya bidhaa za vyakula bado mtihani mkubwa sana.

Wauza vyakula vilivyopikwa na maeneo wauziayo ni mtihani mwingine. Humu mijini ni kawaida kukuta mtu kabeba msosi kwenye sahani kutoka mtaa mmoja wa kariakoo akipeleka kuuza posta.

Bado sana.
 
Hongera TFDA, japo mimi Naona bado mikorogo ni aibu na fedheha.Toeni elimu hata kupitia Wasanii wa ndani watu waone aibu,kuharibu Uzuri Muumba aliowajalia.

Hao wanatakiwa kutoa elimu wenyewe wanatumia,au ndio fuata ukweli usinifuate mimi
 
Mkuu umeisoma hiyo article ya WHO hapo juu?
Kwa nini wabongo huwa hamjiamini?
Mkuu tusingekua tunapeleka ndugu kutibiwa huko nilikokutaja kama supply ya vifaa na dawa ipo juu Tanzania tena kwa gharama za kawaida tuu...Watanzania wengi ni wagonjwa ni vile gharama na upatikanaji matibabu ni shida na wengine ni ghari,Makonda na meli ya Wachina iliyokuja kupima wagonjwa uliona idadi ya walikoua wanagombaniana pale...
 
Hahaha Tanzania tunapenda SIFA sana. Yani sisi kila kitu chetu Bora. Tuliambiwa korosho yetu inaongoza dunia nzima, TRA wameongoza duniani kukusanya kodi, juzi tuliambiwa ofisi CAG imepata tuzo kwa uhakiki bora duniani, niliona JKHI wameongoza kwa ubora wa huduma, leo TFDA ni bora barani Afrika.
Vyetu huwa ni bora, lakini hatusogei. Kazi kujisifia tu na kupeana ma ngao.
 
labda SA na Botswana uziweke kwenye kundi la Nchi za Ulaya...ishu ya madawa na matibabu wapo mbali sana sana...
Nakumbuka miaka ya nyuma Tanzania ilikuwa ya pili nyuma ya Egypt. Nafikiria mambo yamekorogeka Egypt kidogo kutokana na mambo ya siasa.

By the way, mada hapo ni kufikia lengi la ukaguzi wa madawa na sio uzaliishaji. Nchi inaweza ikawa haina timu nzuri ya Taifa ya Football (viwanda) lakini ikatowa na kuzalusha Marefa wazuri (wakaguzi)

South, Nigeria wana viwanda vingi na vina ubora lakini bado dawa fake zinaingia kwa wingi. Na mamlaka hazichukui hatua kali inavotakiwa. Watu wa TFDA TZ wako serious kiasi fulani.
 
Mkuu upo sahihi kabisa Tanzania tunakagua dawa na vyakula kwa ubora sana kuliko South Africa...
 
Duh Hatari sana tena sana. Basi taasisi hizo katika nchi nyingine zitakuwa mfu kabisa.

Hapa kwetu bado sana. You just walk in any pharmacy with no dr's prescription na unapewa dawa yoyote ile, na anayekupa vile vile ni yeyote yule.

Hospitalini dawa zinaandikwa na yeyote yule na kutolewa na yeyote yule ( hasa hospitals za serikali).
Duka lolote bila kujali bidhaa nyingine zilizomo linauza Dawa.

Tones of expired medicinal drugs zipo kwenye vituo vya kutolea huduma, stored in the same store as on use drugs ( risk ya kutumika kwa bahati mbaya au makusudi n.k).

Kwamba TFDA hawajui pharmacies nyingi wametundika tu leseni za wafamasia but hawafanyi kazi hapo Na hawafiki kabisa?

Bado wanaruhusu kuingia dawa zenye short shelves life - hasa zile za misaada. Lakini pia inawachukua karne kuapprove new medicinal products kuingia nchini ( wakati mwingine wana woga usio lazima).

Trainings za ADDO na kuruhusu maduka ya dawa muhimu ingawa lengo ni zuri lakini ni kuendekeza umasikini na kudidimiza utaalum.

Kuna miti shamba hadi ya sindano.

Kwenye vyakula ndio usiseme sijui wanategeana kazi na TBS na mabwana afya. Expired food products hasa zilizosindikwa ( drinks za makopo) kibao, tarehe za kuisha muda wake zimefutika na majority ya consumers hawajui wala kuelimishwa.

Storage na transportstion ya bidhaa za vyakula bado mtihani mkubwa sana.

Wauza vyakula vilivyopikwa na maeneo wauziayo ni mtihani mwingine. Humu mijini ni kawaida kukuta mtu kabeba msosi kwenye sahani kutoka mtaa mmoja wa kariakoo akipeleka kuuza posta.

Bado sana.
Hali bado ni challenging lakini wameikabili kwa kiasi kikubwa sana
 
Back
Top Bottom