TFDA imeshindikana?

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Hii mamlaka ya udhibiti imekuwa inalalamikiwa na Wananchi, viongozi wa kisiasa wakiongozwa na Rais kuwa wanaruhusu bidhaa zinazokaribia kwisha mda kuingizwa nchini (mojawapo ni sukari).

Mbona wameachwa wanatamalaki hapo bandarini/mitaani, kwanini usifanyike uchunguzi wa kina kama ule maarufu wa Bwana Masamaki hawa jamaa wapelekwe panapostahili?

Rais akilalamika na sisi wadau tukilalamika si itakuwa nchi ya kunung'unika? Tujaribu kupata ufumbuzi wa kudumu. Japo kwa Tanzania hii kila atakapogusa Rais nina uhakika litakuwa jipu/saratani.

Karibu tudadavue.
 
Back
Top Bottom