Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
Waungwana naomba kuuliza ambao wamepigiwa simu kwa ajili ya interview Taasisi ya Chakula na Dawa mjitokeze tupeane support
umepigiwa lini?
nili apply accountant bt sijaitwa
nilidhani wewe ni accountant pia
kama ipo ipo tu mkuu. wasiponipigia basi
amen. all the best. kakomae
Jana mchana Mkuu
Mmmm! Basi tayari wamenila mkasi maana nilijua wangenipigia na mimi leo but wapi!!! baadhi ya marafiki zangu wameitwa na mimi niliomba food regstration officer. Hapa ni kufunga mkanda kuangalia mawindo mengine.