Textra message vs google message

Textra message vs google message

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
757
Reaction score
1,866
Textra hii app ya message iko vizuri sana unaweza kuipangilia vyovyote upendavyo na ikawa na mvuto zaidi kuliko hii app ya google message imekaa kiloko sana, nimeamua kuifutilia mbali.
 
Hata dialer yao imekaa kindezi...kuna button ya kurecord alaf inatoa sauti ukiminya bahati mbaya..imenisumbua sana mana nilidhan ni feature ya simu kumbe wapi.
 
ila google kwakweli sijui wanawaza nini!!!yaani huwa najiuliza tatizo nini sielewi.

samsung alikuwa anatupunguzia machungu na one UI yake naona nayeye kaanza kupigwa pini naliona sms app lao pale na kulitoa kwenye simu ngumu sana.
 
Piga custom rom au pakua app ingne kisha ilo li hide imeisha hio
ila google kwakweli sijui wanawaza nini!!!yaani huwa najiuliza tatizo nini sielewi.

samsung alikuwa anatupunguzia machungu na one UI yake naona nayeye kaanza kupigwa pini naliona sms app lao pale na kulitoa kwenye simu ngumu san
 
Siku ukija mood version ya kulipia ndio utajua ulikua unapoteza mda
Waliniletea huo ujumbe kwa chini kwamba nilipie au niruhusu ADS ili niendelee kutumia bure sikukubari chochote mpaka huo ujumbe ukatoka wenyewe sasa hivi nina mwezi ninaitumia bila shida yoyote
 
We umesema uko Textra mie nazungumzia Mood
Waliniletea huo ujumbe kwa chini kwamba nilipie au niruhusu ADS ili niendelee kutumia bure sikukubari chochote mpaka huo ujumbe ukatoka wenyewe sasa hivi nina mwezi ninaitumia bila shida yoyo
 
ila google kwakweli sijui wanawaza nini!!!yaani huwa najiuliza tatizo nini sielewi.

samsung alikuwa anatupunguzia machungu na one UI yake naona nayeye kaanza kupigwa pini naliona sms app lao pale na kulitoa kwenye simu ngumu sana.
Mimi sasa naipenda. Yaani mimi napenda vitu ambavyo havina mambo mengi tena na sisi hivi ilivyonikubalia RCS ndo napenda zaidi sema watumiaji wa RCS wachache
 
Textra hii app ya massage iko vizuri sana unaweza kuipangilia vyovyote upendavyo na ikawa na mvuto zaidi kuliko hii app ya google massage imekaa kiloko sana nimeamua kuifutilia mbali
Hujatumia truecaller bado ndio maana unaongea hivyo.
 
Karibuni iOS, huhitaji kuwa na app ya message zaidi ya moja kwenye simu, iMessage ni jibu tosha.
 
Karibuni iOS, huhitaji kuwa na app ya message zaidi ya moja kwenye simu, iMessage ni jibu tosha.
Hata Google anayo RCS sema wabongo wengi hawajajua na hawaitumii. Hiyo hiyo app ya simu ukienable rcs inafanya kazi kama iMessage, kama mtu akaenable rcs msg znaenda via internet na inakuwa na features zote za iMessage zile za typong, kutuma video picha voice note n.k. mm nimenable ila niwa tu wawili tu ndio nao wame enable
 
Back
Top Bottom