Text-to-speech ni nini?

text - maandishi
speech - matamshi

text to speech software inayobadilisha maandishi kua matamshi, maana yake unaweza weka maandishi ikakusomea kwa sauti.

Mpende sana google, kuna knowledge nyingi sana zaidi ya unavofikiria. Kuna bahari ya knowledge iko mbele yako ni wewe tu kuzama kwa kuandika tu na kuclick basi, unakua smarter na smarter every day.
 
Text-to-speech ni mfumo wa software unaotamka kila aina ya maneno au herufi inayoonekana kwa screen yako kwa sauti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…