Those Texas Teabagging boneheads would vote for Perry again even if the Dems ran Jesus.Rick perry 3 term governor .Rick perry former democratic and Al gore manager ( alivyokuwa anagombania urais) .Wanampenda
Texas will turn purple in ten years.It will be sold blue in 15yrs, and they will be no more battle ground States!.Those Texas Teabagging boneheads would vote for Perry again even if the Dems ran Jesus.
I could care less. Those red states deserve what they get.
Texas inaitwa nchi nyingine yaani republican wale wenye bunduki .Texas kuna sheria " mtu ukienda Kwenye property ya mtu mwenye property anahaki ya kukuua.wanasema don't mess with Texas pia ni state nzuri kimaisha .No state income (gari ukinunua cash lako hapa ct gari hata umelinunua cash lazima nililipie kodi ).before gov bush governor wao alikuwa mwanamke democratic Richardson
Texas will turn purple in ten years.It will be sold blue in 15yrs, and they will be no more battle ground States!.
Halafu spanish wapo democratic kwa ajili ya makaratasi wakipata tu huwa wanabadilika.Walimrudisha Bush second term kwa ajili ya (bush kujifanya mmwokovu na kuwa promise comprehensive immigration bill) .pia Spanish ni watu wa family,catholic na mambo ya magay hawapendi .wanapenda mnoo family yaani mwanaume anafanya awezacho kulisha family .Sijawahi Ona Spanish na designer clothes ( fiscal responsibility ).Democratic hawawezi win bila jina la Obama kuwa Kwenye kupiga kura .
Are you sure Rick Perry is Democratic au una maana nyingine?Rick perry 3 term governor .Rick perry former democratic and Al gore manager ( alivyokuwa anagombania urais) .Wanampenda
Now they are trying to screw up the Electoral College, man am telling you, they are in deep shit!.Now, Democrat can't win without Obama? Woow. What about GOP, what do they need to win? It seems are in bad shape. 😱hwell:
Yes nina uhakika 100 percent soma historia yakeAre you sure Rick Perry is Democratic au una maana nyingine?
Are you sure alikuwa manager wa Albert Gore wakati anagombania urais au una maana ipi?
Tambua kwamba JF ni worldwide
Are you sure Rick Perry is Democratic au una maana nyingine?
Are you sure alikuwa manager wa Albert Gore wakati anagombania urais au una maana ipi?
Tambua kwamba JF ni worldwide
Naona milango inamfungukia mtoto wa Jebb Bush kuukwaa ugavana ..
You are right I see alim- support kwenye democratic primaries mwaka 1988 ambapo Al gore hakushinda(ailshinda Michael Dukakis). Kumbukumbu ya karibu niliyokuwa nayo ilikuwa ni mwaka 2000 ambapo Al Gore aligombania urais Vs G.W Bush, wakati huo Perry alikua Republican.Yes nina uhakika 100 percent soma historia yake