Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,611
Katika teuzi za mkulu ningemshauli awe anateuwa watu wenye multidimensional visionary approach. Watu wenye kujiongeza, wapembuzi na wabishi wenye kujenga hoja na wabunifu.
Najua bunge live limesitishwa napropose tuone kikao cha baraza la mawaziri live! Natumaini tutaona burudani! Of all the people i hate the most ni mnafiki a.k.a "YES MAN" Yeye kila kitu hewala hamna kutoa hoja mbadala kwa unafiki! hivi kweli inawezekana barazani kuna kushauri? i doubt!
Mkuu mtu anayetoa changamoto ni bora zaidi kwenye nchi zetu hizi za dunia ya tatu kuliko kuwa na two dimensional hypocrites ambao jibu kuu wanalolijua ni yes, unamuuliza hii ni nyeusi yes afu dakika tano unauliza hii nyeupe yeye jibu ni yes tena!
Mkuu JK alifanikiwa kuingiza wabishi akina Dr Chami, Prof Mwandosya nk. Huku kama siwaoni vile? hata maRC, maDC NK.
Huku mitandaoni tunahisi ma yes man ndio hupewa kipaumbele na si wenye upeo na akili!