Nilipo bold sidhani kama ni kweli kwani mpaka sasa vielelezo kadhaa vya uchumi bado havionyeshi hitaji la noti ya sh. 50,000/=
Nawashauri BoT waendelee na mpango wao wa kuhakikisha Tanzania inaondokana na cash economy !! Mpaka leo Tanzania mtu anaweza kwenda showroom na kununua gari na cash taslimu Tsh. 150 million bila kuulizwa chochote.