Yule ustaadhi maarufu aliyejitolea kuhamasisha wafuasi wake KULIPA kisasi na kuua viongozi wa kikristo agosti mwaka jana. Sasa hajulikani aliko.
Taarifa nilizozipata hapa MWANZA zinaonyesha kwamba ustaadhi ILUNGA almaarufu SHEIKH ILUNGA hajulikani aliko. Wengi miongoni mwa watu niliozungumza nao hawaaamini kuwa yuko nje ya mkoa wa MWANZA. Wengi wao wanaamini atakuwa kajificha mahali ndani ya mkoa huo..
Hata hivyo taarifa ya AMIR Taifa - (kamati ya kuendeleza uislamu Tanzania) na Wafuasi wake inasema NI KWELI Ustaadhi Ilunga ANATAFUTWA NA POLISI lakini hajatoroka!... Wafuasi wake wanasema kwa sasa yuko INDIA kwa matibabu na polisi wamejulishwa..
Source: Mimi as interviewer na sms toka kwa AMIRI - Taifa..
si walisema ameshakamatwa au?
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?Bado zinapatikana youtube hadi jana usiku,sasa kama kweli alikuwa na haki na dhamira ya kweli asiogope kuhojiwa na polisi au hata kwenda mahakamani kutetea anachokiamini,kukimbia maana yake anawasiliti wafuasi wake aliokuwa anawajengea hoja...nae ni dhaifu hafai kuwa kiongozi shujaa,tena kiongozi wa imani!
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?
Na hapa ndipo penye fumbo la imani kwasababu awe alikufa na kufufuka au alitoroshwa akapaa ukweli unabaki ndiye atakayetoa hukumu.
CHADEMA MMEANZA MATUSI YENU! Asiye na akili ni 'mungu' anayetandikwa mijeledi na viumbe vyake ili kuwaokoa!
Wafuasi wa CHADEMA ndio mabingwa wa kejelu za kidini kwa hiyo usiulize imeingiaje. Kuhusu Yesu mimi sikumtaja wewe ndiye uliyemuingiza hapo. Huo UPUUZI mwingine ni imani yako kama unavyoamini MVINYO ni damu ya Mwokozi wako!