ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Kweli yupo atahutubia kata ya Majengo.Madiwani wote wa CDM kutoka kata ya Lizaboni,Majengo wanaendelea na maandalizi ya kumsikiliza Lissu hapo saa 8.30.Habari zenu wana JF,Na hongereni kwa kusheherekea sikukuu ya christmass! Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo songea,kaniambia kwamba mbunge machachari wa Singida Mashariki Tundu Lissu(CHADEMA). Alikwenda songe kwa mapumziko binafsi ya sikuu ya chrismass. Hata hivyo wananchi wengi wamemuomba awahutubie kabla ya kuondoka. Inasadikika amekubali kuwahutubia.mkutano huo utafanyika saa 8 mchana! Wana jf kama kuna mtu yuko huko anaweza akatupa Update zaidi. Nawasilisha!
basi tunaomba mtujulishe yatakayoendelea huko, na pia kama kuna uwezekano post mapicha. Kila la heri makamanda na wapenda mabadiliko wote!Kweli yupo atahutubia kata ya Majengo.Madiwani wote wa CDM kutoka kata ya Lizaboni,Majengo wanaendelea na maandalizi ya kumsikiliza Lissu hapo saa 8.30.
Huo ni mkutano wa ndani au wa adhala manake nijuavyo mikutano ya adhala inahitaji kibali au niite taarifa ya polisi. Naomba kueleweshwa
Jifunze Kiswahili sio ad gala sema hadhara