Tetesi: Moyes out

Tetesi: Moyes out

mangi jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
290
Reaction score
241
Kuna tetesi zimezagaa kuwa leo kocha wa manchester united david moyes ameachishwa kazi. Taarifa hizi zimezagaa goal.com, talksport espn na skysport mwenye taarifa juu hili atujuze
 
Moyes out jana sio leo bhana.

Watu akili zetu zipo real madrid wachuke UEFA.
 
mwenye taarifa zaidi ya goal.com; espn, talksport na skysports ? Are you serious ?

Issue ni kwamba hizi habari zipo kwenye magazeti UK na sababu bado hajafukuzwa officially na Man U hata kama ni kweli walikuwa na mpango wakumfukuza jana au kesho pia wanaweza wakabadilisha hayo mawazo...., "It ain't over until its over "

Man United wenyewe wapo kimya kuhusu hili wala hawaatoa statement yoyote hivyo ni kusubiri tu, Time will Tell

BBC Sport - David Moyes: Manchester United 'no comment' on boss rumours
 
Hii ndiyo habari ya mujini kwa sasa..

Kaeni mkao uleeeee........ especially wadau wa Man U!
 
Wanaukumbi.

United's owners the Glazers have decided to cut their loses and call time on Moyes just 10 months since he replaced Sir Alex Ferguson at Old Trafford.

SOURCE: DAILY STAR, Mirror
 
The cost of hiring Moyes and his staff for 6 years, two useless signings unless someone smart takes over to use Mata the right way, £300K weekly for a players who was almost a dead man for Ferguson, Nani extended his contract for 5 years and many more and no UCL or Europa league football next season, How much is the total cost of Ferguson's stupid arrogance to hire Moyes? The cost of hiring Moyes and his staff for 6 years, two useless signings unless someone smart takes over to use Mata the right way, £300K weekly for a players who was almost a dead man for Ferguson, Nani extended his contract for 5 years and many more and no UCL or Europa league football next season, How much is the total cost of Ferguson's stupid arrogance to hire Moyes?
 
Back
Top Bottom