Tetesi kuwa kiwanja cha soko eneo la Kibaga kimeuzwa, Serikali ifuatilie hilo kiwanja kirudi


binjo

binjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2016
Messages
2,124
Likes
1,192
Points
280
binjo

binjo

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2016
2,124 1,192 280
Habari wakuu wanajukwaa hili la siasa

Kuna tetesi zimezagaa mtaani kwetu ya kuwa,kuna kiwanja cha soko eneo la KIBAGA kama unaenda katika mitambo ya songas kimeuzwa na walionunua wanaanza kujenga,

Inasemekana diwani wetu kupitia CHADEMA ameshindwa kukipigania eidha amepewa kitu kidogo ama anawaogopa walionunua au kuuza.

Kama chama kinavyojinasibu juu ya maslahi ya taifa,tunaomba mumsaidie kufuatilia diwani wetu GREYSON na ikiwa ni kweli basi wapiganie wakirudishe kiwanja hicho kama kilivyorudi kiwanja cha wazi katika shule ya msingi Kinyerezi.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,739
Likes
49,599
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,739 49,599 280
Hiyo mbona simple, wewe karipoti tu kwa mh. Waziri wa ardhi hana utani kwa mambo ya namna hiyo
 

Forum statistics

Threads 1,235,846
Members 474,742
Posts 29,238,336