dungadunga
Member
- Jul 18, 2013
- 26
- 1
Pole sana ndugu yangu
Ndugu yangu itakuwa yule kimwana uliye kwa Nate kakupiga.
Hiyo Bar ulipo ina huduma za prepaid, huhitaji kuchungulia salio wewe agiza tu wao walishachukua malipo ulipotia team hapo
Pole sana ndugu yangu
Alikua anajitia papaa ananunulia watu asio wajua. kisa pesa ya dili. Kaka kama pombe huiwezi tuachie wenyewe. hata kama hukutoa ofa unataka kusema bia saba tu umekata network ? Angalia duka lisibomolewe.
itakuwa izo kumi na tano kuna mahali ulizidondosha mkuu