Mkuu hongera kwa kazi nzuri,japo mwanzo ni mgumu.Mkuu vipi tena mwendelezo wa somo letu? https://www.jamiiforums.com/technol...a-jinsi-ya-kutroubleshoot-your-network-2.htmlNImekamilisha kuiweka kwenye server ya maana na Kwa sasa unaeza kuitest website yetu HAPA
Mambo mengi ya yapo njiani yanakuja ikiwemo na unlimitted book shusha,hehe
Watu wa IT ni kina nani hao?
Totally wrong.....Wale wote waliosomea Information Technology, Computer Science, Software Enginnering (Programming), Database Management, Website Design na mambo yote yanayohusiana na teknologia ya computer.
hiyo ndo message tunapata mkuuHTTP 404 Page not found
mimi nafikiri tuipanue kutoka IT c=kuwa ICT. Maana IT bila Transport ni issue, hivyo hata watu wa communications lazima twende nao sambamba.Wale wote waliosomea Information Technology, Computer Science, Software Enginnering (Programming), Database Management, Website Design na mambo yote yanayohusiana na teknologia ya computer.
hiyo ndo message tunapata mkuu
napata wa wasiwasi na utalaam wako wa IT....mbona watu wanakata ishu za ki IT humu mkuu? si kuna forum ya IT hapa JF mkuu weka inputs zako mule mtusaidie na sie watu wa ngwini......Mkuu kilongwe nashukuru sasa nimeipata. Ila nimeona bado hakuna subscription za kutosha. Vuta socks mkuu upate wadau wa kuitumia, kitu kimetulia. Umefanya jambo jema sana maana naona watanzania wanataka kuandika si-hasa tuuuu, hayo mambo ya teke linalokujia wengi wanayakwepa, jambo ambalo linanitia shaka juu ya mstakabari wa maendelea ya Taifa letu la Tan-Zan-ia
hiyo ndo message tunapata mkuu
napata wa wasiwasi na utalaam wako wa IT....mbona watu wanakata ishu za ki IT humu mkuu? si kuna forum ya IT hapa JF mkuu weka inputs zako mule mtusaidie na sie watu wa ngwini......
Tatizo lenu nyie wasomi wa IT bana mmeshakuwa kama wanasiasa......
Ile link aliyoweka mwanzo imebadilika nadhani.
Tumia hii: http://218.199.91.248