Terror Plot to Assassinate Theresa May Foiled

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031


(Tishio la kigaidi la kumuua Waziri Mkuu wa Uingereza bi Theresa May kwa kulipua ofisi yake liligunduliwa na vyombo vya Usalama. Tukio hilo lilipangwa kulipua ofisi at 10 Downing st. na suicide bombers(also armed with knives) kuleta mtafaruki na kisha kumuua.
Mkuu wa Intelligence Agency M15, Andrew Parker alimtaarifu Cabinet Minister siku ya Jumanne. Vyombo vya Usalama, Scotland Yard, M15 na West Midlands Police vimekuwa vikifanya Uchunguzi kwa wiki kadhaa na kufikia kukamata watuhumiwa wawili wiki iliyopita.)


An Islamic terror plot to assassinate British Prime Minister Theresa May in London has been thwarted, according to a report out Tuesday by Sky News.
Police believe “the plan was to launch some sort of improvised explosive device at Downing Street and in the ensuing chaos attack kill May according to the report.
Scotland Yard, military intelligence security service MI5 and West Midlands Police reportedly had been investigating the plot for “several weeks.”

Investigators suspect the pair wanted to detonate a bomb disguised as a bag. They would then attempt to kill Theresa May armed with a suicide vest, pepper spray and knife in the chaotic aftermath.
The two men who were arrested on Nov. 28 for the foiled plot are Naa’imur Zakariyah Rahman, 20, of north London, and Mohammed Aqib Imran, 21, of Birmingham, according to a Metropolitan Police news release..
 
Hivi vitukuu vya jamaa hivi! Sijui yana laana gani haya majitu.
 
Akiwa muislamu ni islamic terror plot akiwa mkristo ni attack by a mentally impared man . Pole sana waislamu.
Wametaka wenyewe,unakumbuka enzi za Arab league ikikaa,dunia ilikuwa inasimama bt now hakuna chochote,wamegeukana kwa kudanganywa
 
Wametaka wenyewe,unakumbuka enzi za Arab league ikikaa,dunia ilikuwa inasimama bt now hakuna chochote,wamegeukana kwa kudanganywa
Umenikumbusha mbali! Hivi akina OIC na utitiri wa vi-association vya kiarabu sijui uliishia wapi. Jeuri ya mafuta viliwafanya wakajiona kama miungu wa dunia hii; katika kujiimarisha wakafadhili kila aina ya uchafu na kuhadaa baadhi kwa vibakshishi vya kipuuzi ili kupata sapoti za kijinga.
 
Uingereza imekuwa soft target ya Terror..to the point hawa watu sasa wanapata ujasiri wa ku attack ngazi za juu kama hivi.
 
TESLA na makampuni aina hiyo zinakuja kuwatia umasikini waarabu!
Watakuja kuomba vibarua vya kulima mihogo kisiju.
 
TESLA na makampuni aina hiyo zinakuja kuwatia umasikini waarabu!
Watakuja kuomba vibarua vya kulima mihogo kisiju.
Sio rahisi kihivyo Mkuu; pamoja na umasikini walio nao bado sisi ni masikini wa kutupa kuliko wao. Nchi kama Qatar, UAE, Kuwait, Bahrain, etc. ni level nyingine kabisa. Ila their hardcore ideologies taratiibu naanza kuona zikibadilika - Saudia leo wanawake kuendesha magari ruksa tofauti na siku chache zilizopita ilikuwa ni dhambi mbaya sana. Huko huko Saudia roboti la kike Sofia limepewa uraia na nasikia juzi hapa lime-demand kwamba linahitaji mwanaume wa kuzaa naye!
 
Why all the sudden this lady is of interest? I think there are greater problems to think about than a single life yet they claim thousands of souls in the middle east, congo, libya, chad and so forth. In my perspective I don't think her life is of value than those living in the war zone. These are the same people who sit behind their desks just to plot the invasion of innocent people who are sovereign states just to quest their desires. I think now she knows how it feels like to be insecured.
 
TESLA na makampuni aina hiyo zinakuja kuwatia umasikini waarabu!
Watakuja kuomba vibarua vya kulima mihogo kisiju.
Kama Dubai&co hawatengemei tena sana mafuta sasa hivi wamejikita kwenye utalii wa kutengenezwa na hela ya mafuta na wale twiga walio kuwa wanaibiwa Tanzania

Hawa jamaa hawajabarikiwa na utalii wa asili kama ilivyo kwetu ila watu wanatoka Mabara ya ulaya, asia kufanya utali........

Hata wasipo uza mafuta bado wapo pale pale....
 


Why is she of Interest?
You probably know she's a big fish, if they were successful with a plot it would've been a huge Plus to them as their status would go to the roof.

Back to your point...anybody's life is of value whether it's hers or those in war zones, we can not put a price on human life.
Killing her is no justification for the madness that's going on in the Middle East, Congo, Libya or anywhere in the World.
Two wrongs don't make a right.
 
Kuna wakati nadhani inabidi tuanze kuangalia haya masuala ya ugaidi kwa jicho la pili. Nadhani kuna siasa zaidi kuliko imani kama tunavyoaminishwa. Nilisoma habari moja kuwa ISIS nchini Syria walirusha kombora maeneo ya Gollan heights na bahati mbaya likapitiliza kwenda Israel. Haikupita Muda kiongozi wa Isis akapiga simu kuomba msamaha kwa Israel kwamba lilienda kule kimakosa. Hapa unajiuliza maswali mengi kuliko majibu. Tunaaminishwa waislamu ni maadui wa Israel na leo wamepata nafasi ya kuishambulia inakuwaje waombe Msamaha? hiyo ni kama golden chance kwao. Kwanini middle East? Tunaaminishwa kwamba teknolojia inabadilika na watu wanaenda kutumia magari ya umeme zaidi kuliko mafuta lakini kwa nini Marekani aendelee kupigana middle east ili achukue mafuta? nadhani ISIS ipo kiuchumi zaidi kuliko siasa. Fuatilia teknolojia wanayotumia na zana wanazotumia ni more advanced wanazipata wapi? kwanini Marekani anang'ang'ania Rais wa Syria ang'oke hivi sasa wakati anajua fika hali ya kisiasa ilivyo nchi ile kwa sasa itasababisha machafuko zaidi. Kwa elimu yangu ndogo tu naweza sema suala la wakimbizi kutoka middle east kujazana europe sio la bahati mbaya. Ukitaka kujua hilo fatilia maana sababu ya uingereza kujitoa europe mojawapo ni suala la wakimbizi. najiuliza je umoja huu ulikuwa ni tishio kwa marekani kwenye suala zima la kiuchumi? Wenzetu wanaanzisha vita kwa ajili ya kuinua uchumi wao na watafanya kila linalowezekana.Mi nadhani kama kweli we are great thinkers hebu tuweke masuala ya kiimani pembeni na kuliangalia hili suala kwa mapana zaidi. tuacheni ushabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…