Nauza gari Aina ya terrios kid, ina cc. 650, nimeinunua December mwaka jana, colour ni silver, station wagon, anayehitaji aniambie!
Nauza gari Aina ya terrios kid, ina cc. 650, nimeinunua December mwaka jana, colour ni silver, station wagon, anayehitaji aniambie!
Pictures zake tufunguke
Den unasema tukuambie, tutakuambia vp sasa wkt hujaweka hata namba! Biashara za online zinahitaji kueleweka kwa halii hii..!! Mmmh cjui kama tutafika
Sorry wakuu nikirudi home baadae nitapiga picha, but km upo serious tuchekiane pm bei yake ni 8.5m mengine tutaongea
hiyo beiiiiii, no coment