K kadunga Member Joined May 4, 2020 Posts 68 Reaction score 51 Oct 15, 2021 #1 Wakuu hope nyote mmeamka salama Naomba YOYOTE anaefaham wapi nawezapata tent nzuri kwa ajili ya mgahawa na Bei yake Aniunganishe au Anipe contact za muuzaji mkoa wowote. Nitashukur kwa ushirikiano wenu nifanikiwe hili. Nimeambatanisha na picha hapo chini.
Wakuu hope nyote mmeamka salama Naomba YOYOTE anaefaham wapi nawezapata tent nzuri kwa ajili ya mgahawa na Bei yake Aniunganishe au Anipe contact za muuzaji mkoa wowote. Nitashukur kwa ushirikiano wenu nifanikiwe hili. Nimeambatanisha na picha hapo chini.