Bei ni ya ofa TZS 30,000
Haijapata barua
unapokea mwezi ujao
Ukitaka yenye barua Bei ni TZS 70,000
Kwa wale wanaotaka msaada kwenye akaunti zao
ingiza $10 kwa siku
Ina maana $300 kwwa mwezi bei ni TZS 50,000 upfront
Ofa inaisha kesho saa nane mchana tarehe 23-03-2016
0679732975
View attachment 331837
duuuuh ni shida cc ymollel
Mtu anayeitwa Mickey T Website Designer ni Tapeli sana...na anatengeneza webbsite kwa templates na mwisho wa siku anakudhulumu site yako.Kama nilivyodhulumiwa na yeye.Anatafutwa sana na nina RB yake
Anatumia jina la Mikey T na facebook anatumia jina la Mike Laswety na kampuni yake ni Tanzania Website Expert ni tapeli sana na atakayemjua naomba anitafute 0719298829 anatafutwa na mapolisi na nina RB yake..nipo Arusha. Amenitapeli website yangu na Pesa zangu almost million nilizo-spend na pia adsense zake aliniuzia laki 2 mwisho wa siku haifanyi kazi na hizo trick zake..kama ilivyonitokea mimi.Please mtu anaemjua please anitafute kwa namba 0719298829 anatafutwa na mapolisi na usalama.
pole sana mkuu ndo Maisha lakin kuna kuliwa na kula ubaya wa kufanya kaz na mtu usie mjua ila tambua tu kwamba hizo hela leo hana njaa kalAnatumia jina la Mikey T na facebook anatumia jina la Mike Laswety na kampuni yake ni Tanzania Website Expert ni tapeli sana na atakayemjua naomba anitafute 0719298829 anatafutwa na mapolisi na nina RB yake..nipo Arusha. Amenitapeli website yangu na Pesa zangu almost million nilizo-spend na pia adsense zake aliniuzia laki 2 mwisho wa siku haifanyi kazi na hizo trick zake..kama ilivyonitokea mimi.Please mtu anaemjua please anitafute kwa namba 0719298829 anatafutwa na mapolisi na usalama.