Natamani sana hiyo kitu, ila hii bei imechangamka mno. Wacha nijipange kwanzaMkuu nahisi ufahamu Mashine za ice cream bei yake,hata Mashine used si rahisi kupata kwa bei hio..top 2.45M
Haina shida kiongozi nimechukua namba yako,tutawasilianaAnytime ukiwa tayari usisite kutoa order yako,
Mashine zinakuja kwa order.
Umeona eeehNatamani sana hiyo kitu, ila hii bei imechangamka mno. Wacha nijipange kwanza
Hebu weka hizo ingridients za kutengeneza ice cream hapa, Watanzania mnakwamia wapi? Ujanja ujanja haufai kwenye biashara na hasa kama unahitaji soko la uhakika! Hebu ziweke tu hapa Mkuu wangu!Karibu ofisini mkuu utapata maelezo yote hayo bure kabisa ukinunua Mashine.
Mkuu nahitaji hiyo kitu,ila nipe maelezo kidogo ju ya ingredients za kuweka hadi napata icecream
Umeme kama woteVip matumizi ya umeme yakoje? Maana ice cream within 20 min si mchezo.
RUBBISH, yaani mtu atangaze biashara halafu umuhimu na maelezo yake vikatafutwe youtube? Shit hol... kabisaNenda Youtube angalia videos bure na soma comments.. Youtube ni darasa la bure utaona kwanza kama unapenda kweli kufanya hivyo au la.. utajua hayo unataka kwa aina mbalimbali ya fleva
Tulia Mr. Ngumbaru hujajua nguvu ya Youtube nilikuwa sijui jinsi ya ku-analyse data kwa kutumia NVIVO na SPSS nikawa naangalia Youtube baada ya muda nikaelewa vinginevyo ningeenda kutozwa mipesa kama yote kwa vitu simple tuRUBBISH, yaani mtu atangaze biashara halafu umuhimu na maelezo yake vikatafutwe youtube? Shit hol... kabisa
Wewe mpuuzi tunaongelea juu ya mleta habari ya biashara, sio suala la kutaka kujifunza kama unavyoongelea hapaTulia Mr. Ngumbaru hujajua nguvu ya Youtube nilikuwa sijui jinsi ya ku-analyse data kwa kutumia NVIVO na SPSS nikawa naangalia Youtube baada ya muda nikaelewa vinginevyo ningeenda kutozwa mipesa kama yote kwa vitu simple tu
Humpati mtu hapa kila kitu kinapatikana mtandaoniWewe mpuuzi tunaongelea juu ya mleta habari ya biashara, sio suala la kutaka kujifunza kama unavyoongelea hapa
Tatizo siyo Bei!! Important ni solo !! Kwani Azam ice cream imesambazwa kote... Huwezi kushindana nae....Natamani sana hiyo kitu, ila hii bei imechangamka mno. Wacha nijipange kwanza