Tengeneza maisha na mashine ya ice cream

Algeciras

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
349
317
Habari njema Kwako mjasiriliamali,

Mashine mpya kabisa ya kutengeneza ice cream aina ya BQL F12 .

Mashine ina ujazo wa matank mawili Lita 5 kila tank.
Mashine inatoa ice cream baada ya dakika 20 tu.
Mashine inazalisha zaidi ya lita ishirini kwa saa
Mashine Ina warranty mwaka mzima na spear zake zinapatikana
Mashine ni rahisi kutumia na ina matairi hivyo ni flexible
Ukinunua utafaidika na maelezo ya kutengeneza ice cream bure.
2,500,000/ tu
0713662655 call/WhatsApp
IMG-20171207-WA0006.jpg
IMG-20171207-WA0005.jpg
 
Karibu ofisini mkuu utapata maelezo yote hayo bure kabisa ukinunua Mashine.
Hebu weka hizo ingridients za kutengeneza ice cream hapa, Watanzania mnakwamia wapi? Ujanja ujanja haufai kwenye biashara na hasa kama unahitaji soko la uhakika! Hebu ziweke tu hapa Mkuu wangu!
 
Mkuu nahitaji hiyo kitu,ila nipe maelezo kidogo ju ya ingredients za kuweka hadi napata icecream

Nenda Youtube angalia videos bure na soma comments.. Youtube ni darasa la bure utaona kwanza kama unapenda kweli kufanya hivyo au la.. utajua hayo unataka kwa aina mbalimbali ya fleva
 
Nenda Youtube angalia videos bure na soma comments.. Youtube ni darasa la bure utaona kwanza kama unapenda kweli kufanya hivyo au la.. utajua hayo unataka kwa aina mbalimbali ya fleva
RUBBISH, yaani mtu atangaze biashara halafu umuhimu na maelezo yake vikatafutwe youtube? Shit hol... kabisa
 
RUBBISH, yaani mtu atangaze biashara halafu umuhimu na maelezo yake vikatafutwe youtube? Shit hol... kabisa
Tulia Mr. Ngumbaru hujajua nguvu ya Youtube nilikuwa sijui jinsi ya ku-analyse data kwa kutumia NVIVO na SPSS nikawa naangalia Youtube baada ya muda nikaelewa vinginevyo ningeenda kutozwa mipesa kama yote kwa vitu simple tu
 
Wewe mpuuzi tunaongelea juu ya mleta habari ya biashara, sio suala la kutaka kujifunza kama unavyoongelea hapa
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom