Tendwa hatumwi na CCM, nadhani ni tabia yake

Mbwa Mpole

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Wana JF nadhani mnakumbuka wakati balozi Ramdhani Omari Mapuri aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na katibu mwenezi wa CCM aliposema Tendwa anaongea na kufanya mambo yake kama karani. Kwa lugha rahisi ni kama mtu aliyeishia darasa la saba. Maana hata digree ya sheria aliyonayo hamsadii.

Hivyo si CHADEMA tu, hata CCM wanajua Tendwa ni mkurupukaji na mropokaji. Kama huwa anafikiri, basi hufikiri baada ya kuongea. Tabia hii hufanya waandishi wa habari wampende kuuza magazeti ( Comic figure). Walioua ni polisi na wenyewe wamekiri kwa kumpeleka mahakamani mtu wao, yeye kabla ya uchunguzi au hata kuuliza unatishia kuifuta CHADEMA. Nadhani hakutumia akiri kabisaa. Kama angetumia akiri kabla ya kuongea, basi katika hali tete kama ile si zani kama angekurupuka na kutoa vitisho. Bahati mbaya huyu bwana nadhani hana hata washauri, kwani badala ya kutafuta ushauri yeye hupenda kuzungukwa na hobby yake tu (mabinti).

Mbowe alisema afadhari aongee na karani kuliko Tendwa. Ukitaka kujua Tendwa ni afadhari ya karani, hata ofisi yake anaiendesha kama kiosk. Tofauti ya ofisi yake na brief case political party ni moja tu, ofisi yake ina majengo iliyopewa na serikali. Ndio maana mwana JF alishauri ni wakati muafaka ofisi hii iwe na afisa habari, mimi naongeza apewe na watu wa kumshauri.
 
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa yeye kuchukua hatua na kulifuta Jeshi la Polisi maana ndilo linaloleta vurugu kila utokeapo mkusanyiko na hatimaye kusababisha Vifo kwa zana tulizowapa kutulinda lakini wao wanazitumia kututolea ROHO ZETU
 
Umetumwa nae umsafishe angalia usijekuwa umeajiriwa eneo lako la kazi liwe jf kama zomba ambaye anakesha humu
 
sura yake tu inaonyesha ana matatizo ya akili ..sasa huyu ni wa kuhangaika naye? aaaah
 
Ana mahaba ya dhati na chichiemu.
 
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa yeye kuchukua hatua na kulifuta Jeshi la Polisi maana ndilo linaloleta vurugu kila utokeapo mkusanyiko na hatimaye kusababisha Vifo kwa zana tulizowapa kutulinda lakini wao wanazitumia kututolea ROHO ZETU

Umenena point sana, jeshi la polisi, linapaswa lifumuliwe, na lianzishwe kwa mfupo mpya wa kutojieegemeza kwa chama kinachotawala, badala yake jeshi la polisi linatakiwa lisifungamane na chama chochote cha siasa, na lianzishwe na timu mpya. Watu kama kina Mwema, Chagonja, Kamuhanda, Shilogile na wengine wa design hiyo, wote wapigwe chini!
 
Kama dunia nzima huamini kwamba mtu akifikisha maana 60 nakuendelea uwezo wake kiutendaji hupungua, na kuwa kama mtoto, huoni hata ubongo wa Tendwa umeshapungua na kuwa wa baby uwezo wake wa kunyambua mambo umeisha anatakiwa kuachia ofisi akacheze na wajukuu hao ndo wanaweza kubsdilishana nae mawazo. Hii speed haiwezi220mph.
 
Umenena point sana, jeshi la polisi, linapaswa lifumuliwe, na lianzishwe kwa mfupo mpya wa kutojieegemeza kwa chama kinachotawala, badala yake jeshi la polisi linatakiwa lisifungamane na chama chochote cha siasa, na lianzishwe na timu mpya. Watu kama kina Mwema, Chagonja, Kamuhanda, Shilogile na wengine wa design hiyo, wote wapigwe chini!

Mystery!

Big up ?!! We need to sit down and make huge police / military force reforms in Tanzania. Bila kufanya hivyo we are in deep shit!
Majirani zetu wa Jamhuri ya Kenya wameanza police reforms. Kama mjuavyo Tanzania has undertaken public sector reform programme kwa Bahati mbaya sijaona evaluation on the efficacy
Of the reforms whether it met the objectives. Irrespective of whatever was the outcome we need to do serious police reforms we can even copy edit and paste the Kenyans. Tusiogope we don't need a consultant.
 
Back
Top Bottom